Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Huyo atakuwa mwanaume wa shoka wa enzi hizooooo.....
Hivi sasa hakuna wake/mke kuna weyeuke/mwenyeuke sasa huo wanaume wa shoka wa kujitesa mwenzio afurahi unaanzia wapi kwanza?
Mwanaume wa shoka ni:-
---anaehakikisha kila mbegu anayomwaga kwenye shamba jipya inazaa matunda(mtoto)
___mwenye angalau watoto wasiopungua sita wa mama tofauti na hakuna anaejuta kuzaliwa na yeye.
___anaehakikisha anasababisha maumivu makali kwa kila aliejifanya kutaka kumtapeli kingono kwa kutaka kumtumia kama atm.
Mwisho kabisaaaaaa
Ni yule akisha chomeka dudu kwa mwenyeuke lazima, lazima nasema lazima itokeee mimba na mimba yake lazima izalike na anaejifanya kutaka kuitoa hujikuta anaondoka yeye mtoto anazalika
Kwa sababu ni dune la mbegu na sio maksai.
haya mawazo nikiwa nayarudia kuyasoma huwa nakumbuka mbaaaaali saaaaana.