Mwanaume wa zamani akiwa anamtaka mwanamke

siku hizi hakuna kutongoza ni ishara tu na kusoma alama za nyakati. na simu zimeharibu kabisa
Hao ni wanaume wa zamani, je wa kisasa wanatongozaje?
 
du,Nguli Jabali!!!!


Between men and women there is no friendship possible. There is passion, enmity, worship, love, but no friendship

Sijakupata hapa mzee
 

hii ni kwa mazingira ya mjini, kwasisi tuiozaliwa vijijini huwa hivi;
1. kwanza lazima umpate mwanamke waliyezoeana nae sana sana halafu ndo umtume zawadi ya aidha mafuta ya Rays au sabuni ya Rexona
2. lazima appointment ya kwanza ni kwenye majani wakati akitoka sokoni wakati huo yule rafiki yake akiwaangalizia soo
3. usipomuangusha chini na kula mzigo, unaweza kumtongoza hata miaka 10
4. ukimla lazima aondoke analia na kukutukana-"ukome kama ulivyokoma kwenye ziwa la mama yako"-halafu kesho yake lazima aanze kujipitisha mitaa yenu na watoto.
5.ili kujiongezea umaarufu, lazima uazime baiskeli ya mshikaji wako halafu ndo ujipitishepitishe mitaa yao.
6.lazima ufanye mazoezi ya mieleka na kungfu kidogo kwasababu lazima mshikaji wake wa zamani mgombane au kaka zake
7. akiwa mke wa mtu lazima uwe unamgongea kwenye mapori, ukimgongea pagarani tu-jua umefumaniwa.
 

nishamtupia pale kat saizi anasema nayo shair murwa..akinitosa ntakuja kukwambia akinipa ban ntatumia id yako au siyo bana?
 
Hamna mod wa kike???:disapointed::disapointed::disapointed:

heeeeeeeeee nini?
komaaa weee mod wa kike unamtakaje?
mi kutoka nje ya BOKS lako haina maana sikupend its just m doin ma ADVENTURE..so u just wwait for me i wl b bak....
 
heeeeeeeeee nini?
komaaa weee mod wa kike unamtakaje?
mi kutoka nje ya BOKS lako haina maana sikupend its just m doin ma ADVENTURE..so u just wwait for me i wl b bak....

Tulia kidogo basi....nacheki na mods kidogo...nothing personal ujue....
 
ameoa...so wat?
inanihusu nini mimi labda?
we vp bwna..KWAN NDOA NDO NIN?
ebu ukooo tokazako mod mwenzangu ma hat goesss mwaaaaapwaaaaaaaabwaaaaaaaaaaaa anytime m thnkng abt u...ngoja nikamchek nguli anpe mistar dnt go ..nsubiri apo apo...

:heh: :heh:

Amisaaaaaaaaaaa eeeeeeh eeeeeeeeh!
Nimetokea kumpenda ewe Amiiiiisaaaaa!
Amisaaa umezaliwa Mpwampwa, ila waishi dodomaaaa
Kila nikifikiria AMisa nikuamishie Daresalamaaaaaa, lakini naogopa Amisa weeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…