Mwanaume wa zamani akiwa anamtaka mwanamke
1: Akiwa Bar na wamekaa meza moja atazungusha raundi hata kwa hela za kukopa
2: Daladalani atakuwa gentle na kukulipia nauli hata kama ilikuwa yake ya kurudia
3: Kazini atakua anakusifia na kukununulia Lunch-vi tripu tripu na ni promo kama kawa
4: Boss na mwalimu hawa uwa wakali na wafokaji na kuweka mazingira ya uwoga ili akitongoza asikataliwe na Dukani na Masokoni utakuwa unaongezewa kipimo.
Kama ni JF modes atakuwa anakupiga ban za mara kwa mara ili ujibu PM:-*