Mwanaume wa Zimbabwe Aingia Maombi ya Siku 40 ili Kumpatia Mpenzi Wake Lamborghini

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
1,677
Reaction score
3,174
#UNAAMBIWA Mwanaume mmoja nchini Zimbabwe aitwaye Mark Muradzira, alipanda Milimani peke yake kwa lengo la kufunga kwa siku 40 bila kula wala kunywa chochote ili maombi yake yasikike kwa Mungu ampe uwezo wa kununua gari la kifahari aina ya Lamborghini ili amzawadie Mpenzi wake kwakuwa hilo ndilo lilikuwa gari la ndoto za Mwanamke huyo (Dream Car).

Ndugu, Jamaa na Marafiki walishtuka kutomuona mtaani na kuamua kuanzisha msako ambapo walikuja kumpata siku ya 33 akiwa hoi msituni akikaribia kufariki kwa njaa na kiu wakamuwaisha Hospitali akapona 😃🤔😃 Ndoto kubwa ya Mpenzi wako ni nini? uko tayari kufunga siku ngapi? 😄
 
Tupia picha zao tuwathaminishe!
 
Imani inapokuwa mzigo mzito kubeba
 
Mara paap Mungu anajibu maombi na kumuangushia fuko la midola .. Anafanikiwa kutimiza ndoto halafu demu anampiga chini😂😂😂
 
Alikuwa hana majukumu mimi siwez kufunga kwa ajir yatamaa za mwanamke bora aende natamaa zake kwan atazikwa na haria
 
Akitokea mwarabu akamwambia nipe donati nikupe Lamborghini ataamini Mungu kajibu maombi
 
#UNAAMBIWA Mwanaume mmoja nchini Zimbabwe aitwaye Mark Muradzira, alipanda Milimani peke yake kwa lengo la kufunga kwa siku 40 bila kula wala kunywa chochote ili maombi yake yasikike kwa Mungu ampe uwezo wa kununua gari la kifahari aina ya Lamborghini ili amzawadie Mpenzi wake kwakuwa hilo ndilo lilikuwa gari la ndoto za Mwanamke huyo (Dream Car).

Ndugu, Jamaa na Marafiki walishtuka kutomuona mtaani na kuamua kuanzisha msako ambapo walikuja kumpata siku ya 33 akiwa hoi msituni akikaribia kufariki kwa njaa na kiu wakamuwaisha Hospitali akapona 😃🤔😃 Ndoto kubwa ya Mpenzi wako ni nini? uko tayari kufunga siku ngapi? 😄
Eti siku ya 33 bila kula wala kunywa, thubutu. Labda siku tatu na nusu 3.5
 
Back
Top Bottom