Tupia picha zao tuwathaminishe!#UNAAMBIWA Mwanaume mmoja nchini Zimbabwe aitwaye Mark Muradzira, alipanda Milimani peke yake kwa lengo la kufunga kwa siku 40 bila kula wala kunywa chochote ili maombi yake yasikike kwa Mungu ampe uwezo wa kununua gari la kifahari aina ya Lamborghini ili amzawadie Mpenzi wake kwakuwa hilo ndilo lilikuwa gari la ndoto za Mwanamke huyo (Dream Car).
Ndugu, Jamaa na Marafiki walishtuka kutomuona mtaani na kuamua kuanzisha msako ambapo walikuja kumpata siku ya 33 akiwa hoi msituni akikaribia kufariki kwa njaa na kiu wakamuwaisha Hospitali akapona ππ€π Ndoto kubwa ya Mpenzi wako ni nini? uko tayari kufunga siku ngapi? π
Imani inapokuwa mzigo mzito kubeba#UNAAMBIWA Mwanaume mmoja nchini Zimbabwe aitwaye Mark Muradzira, alipanda Milimani peke yake kwa lengo la kufunga kwa siku 40 bila kula wala kunywa chochote ili maombi yake yasikike kwa Mungu ampe uwezo wa kununua gari la kifahari aina ya Lamborghini ili amzawadie Mpenzi wake kwakuwa hilo ndilo lilikuwa gari la ndoto za Mwanamke huyo (Dream Car).
Ndugu, Jamaa na Marafiki walishtuka kutomuona mtaani na kuamua kuanzisha msako ambapo walikuja kumpata siku ya 33 akiwa hoi msituni akikaribia kufariki kwa njaa na kiu wakamuwaisha Hospitali akapona ππ€π Ndoto kubwa ya Mpenzi wako ni nini? uko tayari kufunga siku ngapi? π
Hiyo mtu itakuwa ilikuwa inakula matunda ya porini, siku 33 sio kitu rahisi.Umesema siku 33 hujala π€
Siku moja mm yenyewe ntatetemeka sasa huyo 33 daah πHiyo mtu itakuwa ilikuwa inakula matunda ya porini, siku 33 sio kitu rahisi.
Eti siku ya 33 bila kula wala kunywa, thubutu. Labda siku tatu na nusu 3.5#UNAAMBIWA Mwanaume mmoja nchini Zimbabwe aitwaye Mark Muradzira, alipanda Milimani peke yake kwa lengo la kufunga kwa siku 40 bila kula wala kunywa chochote ili maombi yake yasikike kwa Mungu ampe uwezo wa kununua gari la kifahari aina ya Lamborghini ili amzawadie Mpenzi wake kwakuwa hilo ndilo lilikuwa gari la ndoto za Mwanamke huyo (Dream Car).