Daniella Jacob Mushi
New Member
- Jun 5, 2024
- 2
- 5
Pombe nikama mpira hainogi ukinywa umejifungia kwaiyo ata akiamishia bar ndani Bado jamaa atatoka tu.Kama ni bia mnunulie kreti aliwe ndani.....
Kazi anafanya saa ngapi? Au wewe ndio provider manka?
Funga tatu kavu.Nifafanunue nini habiby?
Mimi niliamua kuacha kabisa pombe mwenyewe. Sikuambiwa na mtu, na wala nilikuwa sinywi sana.Pole Sana kwa changamoto hiyo,ila la kuacha Ni yeye aamue tu mwenyewe,indelea kumuombea
Ndio.,Mtoa Uzi afanye hivo kwa imani, tamu yake ataacha pombe kabisa.Funga tatu kavu.
Usisahau kunishukuru badae
Ni kweli kabsa bro,uamuzi upo mikononi mwa mme wa mtoa madaMimi niliamua kuacha kabisa pombe mwenyewe. Sikuambiwa na mtu, na wala nilikuwa sinywi sana.
Sijanywa pombe yoyote tangu ninywe glasi moja ya Champagne kusheherekea kuingia mwaka 2024, January 1.
Uamuzi huu, kwa kiasi kikubwa, ni wa mtu mwenyewe.
Wengine wanaweza kusaidia tu.