Mwanaume wangu analewa kupindukia. Nifanyeje aweze kuacha?

Naomba ushauri.

Nina mwanaume wangu lakini ana tabia ya ulevi uliokithiri yani kulewa mpaka asubuhi na huendelea siku inayofuata mfululizo.

Kila wakati anaomba msamaha kubadilika hali ni ile ile. Kwa wazoefu unahisi anaweza kubadika au kwenye Ndoa vitendo vitazidi. Nimevumilia yapata miaka miwili now lakini bado tabia ipo.
Endelea kumsaidia nina uhakika kwa support yako ataweza kuacha. Ninao watu waliokuwa walevi sugu kwelikweli nikiwemo mimi mwenyewe. Tena bia tulishaacha, zikawa ni pombe kali tu. Leo imebaki ni historia na waliokuwa msaada ni wenzi wetu.
Kuna tuliowapoteza (RIP) kwenye ulevi ila wale tulioacha, tumeacha jumla. Urahibu ni janga kwelikweli na kwa wengi bila msaada wanapotea jumla, ni li monster la hatari kweli kweli. Ukimkimbia unaweza kuwa umemmaliza jumla.
Kuna wenzetu wawili wake walichoka wakaondoka, kuna wiki siku 2 nzima mmoja haonekani kazini na si kawaida yake, kwenda kwake kumbe jamaa ashakata kamba siku 2 nyuma (Jumapili) kwa kuzidisha pombe bila chakula akiwa peke yake. Wa pili naye alijifia akiwa mpweke bila msaada wowote pamoja na kuwa msomi mkubwa na mafanikio lukuki, chanzo kikiwa ni pombe bila msosi wala mtu wa kumsaidia.
 
Kaa nae karibu usimseme Wala kumgombeza mfanye awe rafiki Kuna kitu kinachomsumbua na jibu analomweyewe mfanye akuamini atakushirikisha mtapata ufumbuzi wa pamoja
 
Wengi wanaokunywa pombe kupindukia wana jambo linalowasumbua kwenye maisha yao ambalo wamefeli namna ya kuli handle. Anzia hapo kwanza ujue ni nini kinamsibu.
 
Endelea kumsaidia nina uhakika kwa support yako ataweza kuacha. Ninao watu waliokuwa walevi sugu kwelikweli nikiwemo mimi mwenyewe. Tena bia tulishaacha, zikawa ni pombe kali tu. Leo imebaki ni historia na waliokuwa msaada ni wenzi wetu.
Kuna tuliowapoteza (RIP) kwenye ulevi ila wale tulioacha, tumeacha jumla. Urahibu ni janga kwelikweli na kwa wengi bila msaada wanapotea jumla, ni li monster la hatari kweli kweli. Ukimkimbia unaweza kuwa umemmaliza jumla.
Kuna wenzetu wawili wake walichoka wakaondoka, kuna wiki siku 2 nzima mmoja haonekani kazini na si kawaida yake, kwenda kwake kumbe jamaa ashakata kamba siku 2 nyuma (Jumapili) kwa kuzidisha pombe bila chakula akiwa peke yake. Wa pili naye alijifia akiwa mpweke bila msaada wowote pamoja na kuwa msomi mkubwa na mafanikio lukuki, chanzo kikiwa ni pombe bila msosi wala mtu wa kumsaidia.
Mkuu sasa saidia hapa pombe naachaje?? Usifanyeje wewe ukaacha. Utasaidia wengi sana
 
Mkuu tatizo hakuna formula unayoweza kusema utashea na mtu ikamsaidia. Cha msingi kilichonisaidia ni counselling na mimi mwenyewe kuona sasa ninahitaji msaada, ni pale unapodhamiria kwa dhati ya moyo. Ukifikia hatua hiyo na ukawa na support ya watu wako wa karibu na ushauri wa kisaikolojia inawezekana kabisa.
 
Naomba ushauri.

Nina mwanaume wangu lakini ana tabia ya ulevi uliokithiri yani kulewa mpaka asubuhi na huendelea siku inayofuata mfululizo.

Kila wakati anaomba msamaha kubadilika hali ni ile ile. Kwa wazoefu unahisi anaweza kubadika au kwenye Ndoa vitendo vitazidi. Nimevumilia yapata miaka miwili now lakini bado tabia ipo.
Alianza hiyo tabia ya kulewa baada ya kufunga naye ndoa, au hata kabla ya ndoa alikuwa na hiyo tabia?

Kama alianza hata kabla ya kuanza naye maisha, itakulazimu tu kumvumilia mpaka hapo atakapoamua kwa hiyari yake mwenyewe kuacha. Maana hakuna namna nyingine.
 
Naomba ushauri.

Nina mwanaume wangu lakini ana tabia ya ulevi uliokithiri yani kulewa mpaka asubuhi na huendelea siku inayofuata mfululizo.

Kila wakati anaomba msamaha kubadilika hali ni ile ile. Kwa wazoefu unahisi anaweza kubadika au kwenye Ndoa vitendo vitazidi. Nimevumilia yapata miaka miwili now lakini bado tabia ipo.
Wenzetu wanapata wapi pesa za kulewa kila siku?
 
Back
Top Bottom