Mwanaume wangu kafulia, simpendi tena kama zamani. Nifanyeje?

Bora wee unasema kweli.
Mwanaume akifulia unabaki nae wa nini piga chini kagegedwe na wenye hela bwana. Acha kukaa kizembe hapa dunia ya kibepari.
Always ask urself "whats in it for me?"
Hupati chochote sepa zako
 
Mnamsingizia tuu mtoa mada.
Watoto hawaolewi kwa sababu zao wao wenyewe.
Mtoa mada yupo very very right. Sasa kidume kafulia unamvumilia wa nini?
Wee mwanamke mbususu yako ikifulia unadhani mwanaume atakuvumilia
Shem si una pesa, hebu kachomeke bamia mwanawane 😹😹

Sema mtoa mada anauza kimkakati na wateja mshajitokeza chap kwa haraka 🀣😹😹
 
Wanawake wapo kwa mwanaume kwa maslahi
Mambo yakiyumba mwanaume unaachwa
Kataa Ndoa wana point sana
 
Story za jaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…