Halafu tutakula madushe et?
😂 😂 😭sisi wanaume wa kikorea hatujali mambo hayo
Sawa ngoja nitafuatilia hili swalaNi wapi nimelazimisha mkuu? Lakini amini amini nakwambia, ni wengi tu wamejitoa uhai kwa msongo wa mawazo kisa dushe la kibisa.
Endelea kukaza fuvu kwa kuwa leo gegedo lipo na linakutetea, hadi usiku utapokwisha.
Vyunja mifupa angali meno ikoduuh🤔
"BILA MIFUPA BINADAMU NI FURUSHI LA NYAMA "
Basi sawaMwanamke awe na upendo tu, kwa mumeo na familia…. ni rahisi kwako kupaka kilainishi kuliko kuinua gegedo ikiwa mnara hausomi.