Mwanaume wekeza sana nguvu kwenye kuimarisha 'gegedo' lako, sehemu kubwa ya furaha ya utu-uzima hutegemea zaidi eneo hilo

Mwanaume wekeza sana nguvu kwenye kuimarisha 'gegedo' lako, sehemu kubwa ya furaha ya utu-uzima hutegemea zaidi eneo hilo

Yeeh
ricardomomo_20201024_2.jpg
 
nimekuja kugundua kuwa sisi maskini ndo huwa tunawekeza sana kwenye gegedo sababu tunajua ndo sehem pekee ya kumkamata mwanamke mana hela hatuna !! Sisi ndo tunahangaika sjui kuzama chumvini ,mara tupige katerero mara nimuweke staili hii akojoe sana ila hata siku huwezi kumkuta tighter eti anahangaika na hivi vitu

Yeye akifika tu chumbani kwanza analala wala haangaiki dem ndo atamvua nguo mwenyewe ..dem ndo ataanza kuimbia maiki atapanda juu atajipimia mwenyewe . Tighter akibadilisha staili sanasanaa labda kapiga doggy tena anapiga tako tatu anakojoa analala yeye hawazi habari za kumkojoza dem si anajua ana jeuri ya hela ??!

Kwahiyo vijana wenzangu tutafute helaaa
 
Halafu tutakula madushe et?

Wengi mnachangia kwa hasira bila kuelewa, sio kwamba utakula dushe ila kaa ukijua bila gegedo utafedheheka big time hata ukiwa na hizo mnaita hela.

Tafuta hela sawa, lakini hakikisha afya ya uzazi inapewa umuhimu mkubwa.... jiepushe na vyakula au maisha fulani ambayo yatagharimu ufanisi wako eneo hilo pendwa.

Watu wazima (wazee) wananielewa hapa, hasa wale wanaopitia fedheha hii.

Thank me later.
 
Ni wapi nimelazimisha mkuu? Lakini amini amini nakwambia, ni wengi tu wamejitoa uhai kwa msongo wa mawazo kisa dushe la kibisa.

Endelea kukaza fuvu kwa kuwa leo gegedo lipo na linakutetea, hadi usiku utapokwisha.
Sawa ngoja nitafuatilia hili swala

MÊmENtO HoMO
 
Priorities zinatofautiana. Ila nadhani kuwa na hela dunia hii ya sasa ndio jambo la msingi zaidi.

Wakati wa kuainisha priorities zako, some factors are considered constant…. mojawapo ni hili.
 
Na sisi wanawake tuwekeze nguvu kwenye kitu gani!?

Mwanamke awe na upendo tu, kwa mumeo na familia…. ni rahisi kwako kupaka kilainishi kuliko kuinua gegedo ikiwa mnara hausomi.
 
Back
Top Bottom