Mwanaume wewe ni mshindi

Mwanaume wewe ni mshindi

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
2,912
Reaction score
12,904
Habari za jumamosi jamii forum,

Ni weekend nzuri kabisa ya mwisho wa mwezi,ambayo bila shaka bidhaa na shopping kibao zitafanyika huku kesho jumapili tukipunguza michango na zaka kwa kiasi fulani.

Nije moja kwa moja kwenye mada ambapo mara nyingi napenda kuwatia moyo wanaume wenzangu haswa vijana zaidi ambao ni wahanga wa changamoto kibao kwenye hii Dunia ya kisasa

1.Jitambue chukua hatua

Kila binadamu ana angle yake ambayo humtofautisha na mtu mwingine, mfano kuna mtu ana hasira za haraka mwingine hana,
Kuna mtu ni mzungumzaji (Extrovert) mwingine mkimya

Sasa kabla hujaingia kwenye kadhia ya kupishana na walimwengu kwanza zijue tabia zako ili kulinda heshima uliyopewa tangu unazaliwa
Zishinde tabia zako.

2.Kuwa na Msimamo

Dunia haikosi wajuaji,ambao wanaweza kukuingiza kwenye mishe na mipango ambayo huna uelewa nayo kisa tu unapesa na wewe ili uonekane unaenda sawa na walimwengu,bro utapotea
Pia usikae kinyonge kwenye vitu vya kijinga yaani mpo na shemeji mmetoka out wenyewe,ghafla anatokea mwamba anakuletea noma,ikiwemo kukunasa vibao mbele ya mkeo halafu wewe unakimbilia polisi ,eti upo kisheria,bro jikaze tafuta ushindi mapema pigana naye huyo mtu , sheria zipo ili zivunjwe tafuta ushindi mahakamani (ila usiwe mchokozi)

3.Jiamini/jithamini

Siku zote mwanaume jiamini hii itakupa heshima na mwendelezo mzuri,kivipi?
Ukikutana na Mwanamke uliyevutiwa naye usiombe mechi mapema timiza vitu vyake vidogo vidogo kisha weka mazingira ili game aombe yeye,bro hapa umeshinda kabla mechi haijaanza.

Na ukiona anaonesha dalili kuwa hakutaki achana naye hata kama kuna gharama kidogo umetumia,hii itakusaidia kutoingia kwenye msongo usio wa lazima.

Pia,mkitoka na mpenzi wako out siku nyingine aga mapema jifanye una dharula , najua unampenda ila jiamini kwanza wewe mpe hela ya usafiri,kama ana usafiri wake,mpe pesa ya mafuta mwambie kuwa kuna michongo unaenda kuweka sawa (siyo mnakaa muda mrefu mpaka mnaanza kudharauliana)

4.Wafichie watu siri

Usiwe mropokaji wewe ni mwanaume,usongelee madhaifu ya watu kisa unayajua kwaniaba ya kufurahisha kijiwe au baraza wakati unashusha utu wa mtu hii ni mbaya na itakushushia heshima wewe mwenyewe .
Pia jitahidi kujizuia kutosema kila kitu chako kiwe chenye maumivu au chenye furaha kwani mara nyingi heshima yako hupungua kwa kujieleza sana.

5.Jipe muda,jaribu tena.

Hatujazaliwa tukijua vitu,
Hatuwezi kujua kila kitu hivyo tujaribu mara nyingi kwani kukosea ndiyo kusonga na kuexperience zaidi,
Lakini pia Usipoteze muda kwenye kitu ambacho hakikupi matokeo licha ya kufanya mara nyingi ,utapata hasara ya muda na ulichowekeza kwenye huo mpango wako.

6.Epuka kutongoza ovyo.

Haikupi heshima kama unavyoaminishwa na maneno ya vijiweni bali unaweza kuishia pabaya ,fanya uchunguzi kidogo kwa huyo Mwanamke kisha mweleze shida zako ,epuka kukurupuka.
Wanawake hawaridhishwi na chochote chini ya jua hata ukimpa mali zote za Elon Musk bali atataka kitu kingine.

Sasa unapotongoza ovyo utakutana na mpenzi wa mtu au mke wa mtu mwenye shida zake zisizoisha ,kwakuwa anahitaji msaada atakwambia yupo single and happy,na wewe udenda utakutoka kwa kutaka umalize mchezo kama mpira uliotemwa na golikipa wa timu pinzani halafu upo miguuni mwako.
Bro mke wa mtu sumu.

7.Saidia watu (toa sadaka)

Tumejaaliwa vipato kila mtu kwa kiwango chake hivyo jitahidi kusaidia pale unapoona unaweza fanya hivyo ,wewe ni mshindi huwezi kushuka thamani.
Saidia jinsia zote,bila kujali kabila,rangi na mbari yeyote.
Usichukulie kisa ni Mwanamke basi akupe penzi ndipo umsaidie,la hasha!

Mapenzi huwezi yafaidi labda utaishia kuingiza tupu yako kwenye tupu nyingine mithili ya Sean Combs ila hutafaidi chochote.

8.Epuka ushirikina.

Ili uishi angalau maisha fulani mazuri uwe na mipango,wekeza ,kuwa na vyanzo vingi vya mapato hata kama ni vidogovidogo.
Mtangulize Mungu kwa kila jambo utafika safari yako.

MUNGU humwinua
mwenye HAKI

Uwe na siku njema
 
🙏🏾
 
Ukipigwa mbele ya mkeo usikubali kushindwa? Ukiona unazidiwa je?

Ni bora mkeo akuone dume la nyani, au ni bora usiuawe?
 
Namba tatu ndio napambana niwenayo
 
J'D katika ubora wake, hiki kinywaji kina heshima yake, Haya yote uliyoandika ukishakuwa na uhakika wa kipato yanajiseti yenyewe. PESA! PESA! PESA!
 
Asante kwa Somo zuri sana
 
Back
Top Bottom