Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Kizazi cha hovyo. Wazazi wetu wengi wana sura zao halisi, hawana upumbavu wa "shepu". Sasa sijui unamsimanga baba yako? Eti mwanamume rijali, acha tozo ziendelee tu. Nchi imejaa wajingaMwanaume yeyote rijali, anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri.
Kutokana na urefu wa kamba zetu na uwezo wa kushawishi, tunajikuta tunaishia kuwa na mahusiano na watu wasiokuwa na sura au shepu shawishi; huku tukisingizia mwanamke mzuri ni tabia.
Ingawa kuwa meneji, wanawake wenye sura na shepu nzuri ni vigumu; ila tubaki kusema; Mwanaume yeyote rijali, anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri.
Huo ndio ukweli