Mwanaume yeyote anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri

Mwanaume yeyote rijali, anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri.
Siyo kweli, kama ni hivyo baadhi yetu tusingepata waume.

Wanaume wana vigezo tafauti kwa wanawake. Kuna wanaopenda macho, mikono, miguu, shape, urefu, ufupi na kadhalika.

Ndiyo maana ukaambiwa 'uzuri wa mtu uko kwenye macho ya mtazamaji' (tafsiri yangu)
 
Wengi wanaogopa kuoa wenye shepu, ili kuepusha migogoro isiyokuwa ya lazima
 
Mwanamke mrembo wa sura na shepu ana competition sana, sasa kama uko tayari kuacha kazi zako na kuanza kumlinda mkeo oa mwenye shepu na sura ambaye kila mtu anamtolea macho kuanzia boda boda hadi mkurugenzi ofisini!
Wewe ata mwanamke wa kawaida pia halindwi...wanaume tuna akili za ajabu. Wee kioe kitu moyo inapenda. Cha msingi unue tuu mbususu siyo yako peke yako
 
Hilo la sio yako ndio gumu
 
Back
Top Bottom