Mwanaume yeyote anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri

Mwanaume yeyote anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri

Mwanaume yeyote rijali, anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri.

Kutokana na urefu wa kamba zetu na uwezo wa kushawishi, tunajikuta tunaishia kuwa na mahusiano na watu wasiokuwa na sura au shepu shawishi; huku tukisingizia mwanamke mzuri ni tabia.

Ingawa kuwa meneji, wanawake wenye sura na shepu nzuri ni vigumu; ila tubaki kusema; Mwanaume yeyote rijali, anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri.

Huo ndio ukweli​


Wacha wachina na waturuki waendelee kutupambania tupate hizo shepu na sura mnazotaka 😆😆😆😆
 
Usiiguse hyo ni kwa ajili ya watoto tutaopata.....ww Kazi Yako ni ndogo sana...... kulala chumba kinachofuata baada ya mlango wa chumba changu.....na uegeshe mlango
Kutengana vyumba ni sawa na kuingia motoni
 
Yani wanaume bhana

Wanawake wakipenda wanaume wenye pesa na mali ni nongwa lakini ninyi kupenda wanawake wenye sura na tako hewala tu

Anyway ndiyo mvumilie vitimbwi vyao sasa siyo mkipigwa matukio mnaanza kulialia as if it's a surprise to you wakati mnawafahamu fika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear mic u mnoooo.
 
Wanaume hatupendi tunatamani, mara nyingi upendo huja mbele ya safari baada ya tamaa.

Umezumgumzia vitu viwili tofauti, wa kuwekwa ndani ni mwanamke sasa huyu ndio wengi wanazungumzia uzuri wake tabia, hapa kila mtu na kigezo chake, akiwa na nyongeza ya uzuri ni kama kutia asali kwenye juisi ya ndizi.

Sasa kuna hawa wengine CHAPA ILALE, hawa kigezo ni uzuri, Tabia atamuonesha mzazi wake nyumbani, sie tunakuwa tunataka msambwanda na vinginevyo.

Ndio maana unakuta mchizi ana mke wa kawaida ila mchepuko mkali ni kwamba hana vigezo vya kuitwa mke, ni tamaa tu, wanaume wengie hawachiti sababu hawawapendi wake zao ni sababu ya MATAMANIO TU.
Kheeeeeeh mbna Dunia ni Duara.
 
Back
Top Bottom