Mwanaume yeyote anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri

Mwanaume yeyote anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri

Kweny mapenz ckuiz pesa ndio funguo [emoji359] mkuu

Wanawake ckuiz wamekuwa cheaper sna ukiwatangulizia pesa mbele ila ukitaka uonekane c lolote c chochote peleka maneno matupu [emoji23][emoji23]
Kweli mkuu
 
Yani wanaume bhana

Wanawake wakipenda wanaume wenye pesa na mali ni nongwa lakini ninyi kupenda wanawake wenye sura na tako hewala tu

Anyway ndiyo mvumilie vitimbwi vyao sasa siyo mkipigwa matukio mnaanza kulialia as if it's a surprise to you wakati mnawafahamu fika
 
Wanaume hatupendi tunatamani, mara nyingi upendo huja mbele ya safari baada ya tamaa.

Umezumgumzia vitu viwili tofauti, wa kuwekwa ndani ni mwanamke sasa huyu ndio wengi wanazungumzia uzuri wake tabia, hapa kila mtu na kigezo chake, akiwa na nyongeza ya uzuri ni kama kutia asali kwenye juisi ya ndizi.

Sasa kuna hawa wengine CHAPA ILALE, hawa kigezo ni uzuri, Tabia atamuonesha mzazi wake nyumbani, sie tunakuwa tunataka msambwanda na vinginevyo.

Ndio maana unakuta mchizi ana mke wa kawaida ila mchepuko mkali ni kwamba hana vigezo vya kuitwa mke, ni tamaa tu, wanaume wengie hawachiti sababu hawawapendi wake zao ni sababu ya MATAMANIO TU.
 
Yani wanaume bhana

Wanawake wakipenda wanaume wenye pesa na mali ni nongwa lakini ninyi kupenda wanawake wenye sura na tako hewala tu

Anyway ndiyo mvumilie vitimbwi vyao sasa siyo mkipigwa matukio mnaanza kulialia as if it's a surprise to you wakati mnawafahamu fika
Ukishapelekea moto inabidi kupunguza mazoea ili kuepusha msongamano
 
Wanaume hatupendi tunatamani, mara nyingi upendo huja mbele ya safari baada ya tamaa.

Umezumgumzia vitu viwili tofauti, wa kuwekwa ndani ni mwanamke sasa huyu ndio wengi wanazungumzia uzuri wake tabia, akiwa nna nyongeza ya uzuri ni kama kutia asali kwenye juisi ya ndizi.

Sasa kuna hawa wengine CHAPA ILALE, hawa kigezo ni uzuri, Tabia atamuonesha mzazi wake nyumbani, sie tunakuwa tunataka msambwanda na vinginevyo.
Kuna wengine, mpaka kuvuta hisia inabidi uzime taa kwanza
 
Back
Top Bottom