Mwanaume yeyote anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri

Kizazi cha hovyo. Wazazi wetu wengi wana sura zao halisi, hawana upumbavu wa "shepu". Sasa sijui unamsimanga baba yako? Eti mwanamume rijali, acha tozo ziendelee tu. Nchi imejaa wajinga
 
Mwanamke mrembo wa sura na shepu ana competition sana, sasa kama uko tayari kuacha kazi zako na kuanza kumlinda mkeo oa mwenye shepu na sura ambaye kila mtu anamtolea macho kuanzia boda boda hadi mkurugenzi ofisini!
Punguza woga. Jipatie mwanamke mrembo wewe sio gaidi
 
Hilo la sio yako ndio gumu
Ah kweli ni gumu maana kutombewa demu sikia tuu inauma kinomaa ila sasa utafanyaje mwanawane.
Yaani niache kuwa na mrembo pisi kali kisa watu watagegeda....hapana not for me. Kwanza kuwa na mwanamke mzuri ambao other guys wana smash is such a turn on
 
Mwanamke mrembo wa sura na shepu ana competition sana, sasa kama uko tayari kuacha kazi zako na kuanza kumlinda mkeo oa mwenye shepu na sura ambaye kila mtu anamtolea macho kuanzia boda boda hadi mkurugenzi ofisini!

Mzee mwenzangu kwa mawazo yako haya tuendelee kujibanza kwa hawahawa ambao tunapata UTI kila leo na wanuka k
 
Na wanawake wasio na shape wao wanapenda men wa aina gani ?
Maana hawana shape wanapenda wanaume mabaunsa waliachia juu na wanaume wenye vifua vipana kuna wanyanyua vyuma na waliojaliwa vifua wanawake wanane wanapenda wanaume wembamba
 
Kwan wao wamekatazwa kupenda wanaume mahandsome na body builders?
Pesa sio kitu natural...pesa hata madem wengine wanazo
 
Yes kweli tunawapenda hawa wanawake ila mara nyingi wanaishia kuwa michepuko yetu, tunapotaka kuanzisha familia huwa tunaangalia zaidi akili na uwezo wa mwanamke kwenye kupambanua mambo. Kwa mwanaume aliepata vyote hivo kwa mwanamke mmoja basi ni bingo.
 
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…