Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #21
huyu akliwa mzaliwa wa 2, 3, 5 au 6Olewa na anayekunywa Konyagi, hutojuta.
hela utaipata ukiwa mjane!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu akliwa mzaliwa wa 2, 3, 5 au 6Olewa na anayekunywa Konyagi, hutojuta.
uweee
weewangapi kwenuwe utakuwa mzaliwa wa 5 au 3
mbishi kweli kweli
mkavuuuuuuu
Mimi namba yangu ni ya kike katika namba za malaika inagawika kwa Kwa mbili na tatu haipowe utakuwa mzaliwa wa 6, mkorofiiiiiii
ndoa nyingi sahivi ziko kwa divorce rate sababu ya haya manenoOlewa na anayekupenda wew sanaa kuliko wew unavyompenda
ila wewe mwanamke uwe na roho ya utoaji pia la sivyo utachukiwa na wana familiaNi kweli, wanajali sana yani
swali halijaelekeza kwa matajiri au maskiniFirst born wa familia maskini sio sawa na first born anayetoka familia tajiri.
Hivyo hivyo kwa last born
Ni kweli,, maana mara nyingi hua wanategemewa na familia zaoila wewe mwanamke uwe na roho ya utoaji pia la sivyo utachukiwa na wana familia