Mwanaume zilinde 'Shahawa' zako, huo ndo uhai wako

Mwanaume zilinde 'Shahawa' zako, huo ndo uhai wako

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,236
Reaction score
15,677
Kuna uzi uliwahi kuletwa humu jukwaani ukiwa na jina la 'No fap challenge'. Kwa haraka haraka ulikuwa unaonekana kwamba ni uzi wa kipumbavu na wakujifurahisha.

Ambao hawakubahatika kusoma uzi huo, maudhui yake makubwa yalikuwa ni kuhimiza wanaume kuto kusex kabisa.

Kuna comment za kuchekesha sana kwenye uzi ule. Lakini kabla sijaendelea zaidi. Embu tafakari haya maswali yafuatayo hapa chini.

1. Kwanini video za pornography ni free? Wakati huo huo kukosoa serikali inaweza kugharimu maisha yako?

2. Kwanini nchi nyingi za magharibi na hata huku kwetu wanapitisha sheria za kuruhusu ushoga na ndoa za jinsia moja?

3. Kwanini social medias nyingi zinachochea contents za mambo ya ngono?

4. Kwanini habari za ngono na ambacho wanaita connection huwa zinapata umaarufu sana?

5. Kwanini mwanaume akishaanza kupenda ngono hawezi kuridhika nayo? Yaani unavofanya zaidi na zaidi ndivo unazidi kupenda zaidi na zaidi?

Majibu ya haya maswali yapo kwenye 'shahawa' za mwanaume. Mwanaume anayepoteza shahawa zake kwa kasi anakaribisha udhaifu na kutawaliwa.

Kuna story nyingi za wanaume kuwekewa mtego kupitia mwanamke. Kwa sababu tayar walikuwa ni watu dhaifu kutokana na kutoa shahawa zao kwa kupenda kufanya ngono.

Naendelea kama ifuatavyo.... Lengo kubwa haswa la watawala wa dunia, ni kuendelea kutawala na kubakia madarakani wao na jamii zao.

Kwa maana hiyo basi, kwa sababu wanaume ndo jinsia korofi hapa duniani, maana yake ili kumfanya huyu mwanaume kuwa dhaifu, ni lazima uweze kuiteka akili yake na ikiwezekana umpunguze nguvu zake.

Ni labda nikikuuliza swali, ulishawahi kuona mashoga wakipigania chochote zaidi ya haki zao za ushoga? Maana yake ni kwamba mwanaume akishakuwa controlled anakuwa hana thamani tena na ndio inakuwa rahisi kumtawala.

Labda nikuulize ni kwanini pornography imekuwa ni rahisi sana kupatikana na pia ni kwanini mitandao ya kijamii inachangia kueneza maudhui ya ngono? Ni kwasababu, maudhui yenye ngono yanachangia pia pakubwa kwa wanaume kujihusisha na vitando vinavowafanya kutoa shahawa zao.. vitendo kama punyeto na umalaya, na hilo ndilo lengo haswa... wanaume watoe shahawa zao kwa wingi ili wawe dhaifu.

Mfano mdogo tu, wanaume wengi wanaopiga punyeto wamekuwa mwisho wa siku wakilalamika kwamba punyeto inachangia kuwaharibu kisaikolojia... na hili pia ni lengo.. kuharibu mwanaume kisaikolojia maana yake ni kumfanya azidi kuwa dhaifu.

Sina maana watu wasi sex
Naona kuna wadau wamenielewa vibaya, sizuii watu kusex, ila nnachomaanisha ni kwamba kama ni kusex nadhani Mungu ametueleza vizuri kabisa, shahaza za mwanaume zimwagwe kwenye uke mmoja tu ambao ndo mke wako.. kuzitapanya kwa punyeto au kwa umalaya kila kona ndo kutu kinakaribisha udhaifu ambao ndio nauzungumzia.

Watoto wa kiume walindwe..
Kama mzazi wa mtoto wa kiume unataka kulea mwanaume kidume haswa mwenye akili nyingi, kiumbe asiyeweza kuwa manipulated na kutishwa na yeyote, huyo mwanaume ni yule pekee ambaye hamwagimwagi hovyo shahawa zake.

Waepuke wanao na mitandao ya porn, waepushe wanao ikiwezekana na matumizi ya simu mpaka walau miaka 20, waepushe wanao na mazingira ambayo yatawafanya waone kufukuzia mademu ni kitu cha kawaida. Kwa ufupi kuna mambo mengi sana ambayo mwanaume ama hata mvulana mdogo wanaweza kufanya mbali na kukimbilia mambo yanayohatarisha shahawa zao.

Hili suala la shahawa lina uhusiano wa kiroho pia, wanasema mwanaume ambaye sio malaya ama yule anaye mwaga shahawa hovyo hovyo ni ngumu sana kulegeka ki uchawi.. wakati mwanaume ambaye amezitoa hovyo hovyo shahawa zake, ni mwanaume dhaifu ambaye anaingilika kirahisi kwenye ulimwengu wa roho.
 
Maelezo yana mapungufu. Shahawa kuangukoa mikononi mwa malaya wenye mlengo wa ushirikiana ( hapa kwa wanao amini ushirikina), shahawa kuangukia mikononi mwa marine spirit hapa pia ni imani.

Shawahawa zinatakiwa ziingie kwa mtu wako mmoja tu ambae nafsi zenu zime balance.... Haya yanaangukia kwenye imani. Wasio na imani wana mambo yao ya kisayansi
 
Back
Top Bottom