Mwanaume zilinde 'Shahawa' zako, huo ndo uhai wako

Hapa umelenga wale Jamaa Malaya hawakawii unapigwa urogozo fasta unarogwa kwa kutumia mbegu zako
Sure, kuna walio malaya kama agent wametumwa kukusanya shahawa za wanaume.. Shahaya ina connection moja kwa moja na maisha ya mtu na uhai wake, unapo achia shawa maana yake umeachia kitu cha thamani sana, ambacho kina beba maana kubwa sana. Pa kukojolea lazima pawepo safi na pa kuaminika sana sio kila ntu
 
Kweli mkuu uaminifu unahitajika la sivyo mbegu zako unakuta zishafikishwa kuzimu zinapigwa mnada..
 
Hakuna kitu kinanipa raha kama ngono hapa silindi cha manii wala nini .
 
Back
Top Bottom