Mwanausalama Tanzania aaibika kutumia nguvu na mwanausalama wa Obama kumlinda mwandishi

si unafahamu kua wanaoenda upolice mara nyingi ni wale failures. Ukishakua hukubaliki vyuoni au mashuleni kwa pass zako basi haraka sana utataka kuingia jeshi au police na hasa hivi vyeo vya chini. Sasa watu wa aina hii hata wakipelekwa darasani sijui kama wanaweza kuelewa. awajui muda gani wanapaswa kutumia nguvu na wapi hapahitaji nguvu wao walivyokariri hawataki kabisa kubadilika. Mkuu bado tunayo safari ndefu ya kuibadili tz iwe kisiwa cha amani kweli kweli
 

Na kweli kabisa waliokuwa wakienda Upolisi walikuwa ni wale wachovu na choka mbaya ki akademia. Lakini ukweli jeshi letu la polisi linahitaji 'Reformation' ya hali juu kabisa ili liweze kukubalika kiviwango, displine na hadhi ya utendaji wa ki profesheni na unaoaminika kwa umma. Kwa sasa limekuwa ni jeshi la polisi 'muflisi' kabisa.

Nafikiri pia kuna haja ya kuanzisha programs zenye ku offer majoring in Criminology katika vyuo vikuu vya Tanzania (kama ili ilivyo majuu), ili mwisho wa siku wale graduates ndio wawe recruited kama 'police professional '(waliobobea). Na hii wanafunzi kuiona kuwa kazi ya polisi ni profesheni kama zilivyo fani nyingine badala ya ile picha iliyozoeleka katika jamii kuwa hiyo ni kazi ya vilaza tu (Piga Ua, liwalo na liwe🙂
 

kwa kweli tunavyowadharau,kuwanyali na kuwachukia hawa wana usalama wetu,
sijui huwa wanajisikiaje,
maana mmmh hope iko siku watajirekebisha.
 
kwa kweli tunavyowadharau,kuwanyali na kuwachukia hawa wana usalama wetu,
sijui huwa wanajisikiaje,
maana mmmh hope iko siku watajirekebisha.
Acha tuyasilibe mkuu! Sisi sasa tumechoka nao kabisaaaa!
 

Aisee .....! yaani ....kumbe nchi ilikuwa mateka wa Marekani kwa siku mbili !!?
 
Wacha uzushi wewe ulikuwa wapi wakati huo,Na mtato mengi sana kwa ujio ule.Tumewazoeya
Yaani chanzo cha taarifa cha Habari Leo ni wazushi...hacha kuidharirisha serikali ya Chama chako inayoratibu utendaji wa chanzo hiki cha habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…