Mwanawake: Kwani haiwezekani kupiga Picha bila kuonesha makalio?

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Kila nikipita kwenye mitandao kuanzia Instagram, Twitter ( X ), Facebook n.k kote huko kwa asilimia kubwa unakuta Picha au clip ya demu akionesha makalio bila aibu

Sasa najiuliza ni matangazo au ni Nini???, au ndio Dunia unaelekea mwishoni???

Wengine mpk skuizi wanaenda kufanya upasuaji ( surgery ) ili awe na Tako kubwa ili kuleta ushawishi mfano yule aliyekuwa anatoka na mchizi wa radio Fulani maarufu anafanya kipindi Cha michezo ( Za ndaaani )

Ni wazi dunia inaelekea mwishoni coz watu wanakulana Sanaa 0713, bisha Sana ila huo ndio ukweli

Mfano mdogo TU hata hapa Jf ikitokea mtu kaleta mada hizo watu wengi wanachangia kwa Sanaa Yani, sio KE Wala ME.

Hata vitendo vya ulawiti vinakuwa kwa Kasi ya 5g kila siku ni tukio juu ya tukio, Mwenyezi Mungu atunusuru

Siku zote dalili ya mvua ni mawingu
 
Kwa

hiyo ni biashara sio hivyo anafanya matangazo??
Wengine sio biashara basi tu anafirahi vile wanaume wanapapatika juu yake na vile wanawake wenzie wanaona wivu yeye kua vile.

Hata hapa jf kuna watu wa namna hiyo, mtu anaanzisha nyuzi kibao za hovyo basi tu anahisi raha watu kushusha comments na likes + matusi na kutajwa tajwa id yake...
 
Ulawiti hausiani na shep nzuri ya mwanamke, mwanamke anapendeza sana akiwa na shep nzuri au vihips kimtindo au kalio , kuna namna linavutia, pia akivaa nguo anawaka zaidi, mwanamke anapaswa atushawishi kwa njia yoyote mkuu, hata akiviaa dira kuna namna wanalivutia kwa juu😋
 
We ni wa kiume kweli, kwa hiyo unataka aonyeshe nini!? Kama dume tunavyoonyesha madevu na vifua,wa kike lazima aonyeshe kalio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…