Mwanawake: Kwani haiwezekani kupiga Picha bila kuonesha makalio?

67a6045229d01196ae48b633a6d83ba9.jpg
 
Kila nikipita kwenye mitandao kuanzia Instagram, Twitter ( X ), Facebook n.k kote huko kwa asilimia kubwa unakuta Picha au clip ya demu akionesha makalio bila aibu

Sasa najiuliza ni matangazo au ni Nini???, au ndio Dunia unaelekea mwishoni???

Wengine mpk skuizi wanaenda kufanya upasuaji ( surgery ) ili awe na Tako kubwa ili kuleta ushawishi mfano yule aliyekuwa anatoka na mchizi wa radio Fulani maarufu anafanya kipindi Cha michezo ( Za ndaaani )

Ni wazi dunia inaelekea mwishoni coz watu wanakulana Sanaa 0713, bisha Sana ila huo ndio ukweli

Mfano mdogo TU hata hapa Jf ikitokea mtu kaleta mada hizo watu wengi wanachangia kwa Sanaa Yani, sio KE Wala ME.

Hata vitendo vya ulawiti vinakuwa kwa Kasi ya 5g kila siku ni tukio juu ya tukio, Mwenyezi Mungu atunusuru

Siku zote dalili ya mvua ni mawingu
Mkuu Hilo swali lko humo humo ndan ya maelezo ya thread ako ypo majibu ten ykuelewek.mfano ujib mwenyew kuw"wanafany hvyo kwasabab;
1.ya matangazo(ni wazi kuw biashar matangazo)
2.ya ushawishi(mvuto ama mwonekano)
 
Wengine sio biashara basi tu anafirahi vile wanaume wanapapatika juu yake na vile wanawake wenzie wanaona wivu yeye kua vile.

Hata hapa jf kuna watu wa namna hiyo, mtu anaanzisha nyuzi kibao za hovyo basi tu anahisi raha watu kushusha comments na likes + matusi na kutajwa tajwa id yake...
Duuh basi nakubaliana na ile kauli ya saikolojia ya mwanamke ni ngumu Sanaa kuielewa
 
Kila nikipita kwenye mitandao kuanzia Instagram, Twitter ( X ), Facebook n.k kote huko kwa asilimia kubwa unakuta Picha au clip ya demu akionesha makalio bila aibu

Sasa najiuliza ni matangazo au ni Nini???, au ndio Dunia unaelekea mwishoni???

Wengine mpk skuizi wanaenda kufanya upasuaji ( surgery ) ili awe na Tako kubwa ili kuleta ushawishi mfano yule aliyekuwa anatoka na mchizi wa radio Fulani maarufu anafanya kipindi Cha michezo ( Za ndaaani )

Ni wazi dunia inaelekea mwishoni coz watu wanakulana Sanaa 0713, bisha Sana ila huo ndio ukweli

Mfano mdogo TU hata hapa Jf ikitokea mtu kaleta mada hizo watu wengi wanachangia kwa Sanaa Yani, sio KE Wala ME.

Hata vitendo vya ulawiti vinakuwa kwa Kasi ya 5g kila siku ni tukio juu ya tukio, Mwenyezi Mungu atunusuru

Siku zote dalili ya mvua ni mawingu
Umeandika kama mshamba aliyewasili jana usiku akitokea Sigimbi. Basi piga wewe usioneshe makalio.
 
Kila nikipita kwenye mitandao kuanzia Instagram, Twitter ( X ), Facebook n.k kote huko kwa asilimia kubwa unakuta Picha au clip ya demu akionesha makalio bila aibu

Sasa najiuliza ni matangazo au ni Nini???, au ndio Dunia unaelekea mwishoni???

Wengine mpk skuizi wanaenda kufanya upasuaji ( surgery ) ili awe na Tako kubwa ili kuleta ushawishi mfano yule aliyekuwa anatoka na mchizi wa radio Fulani maarufu anafanya kipindi Cha michezo ( Za ndaaani )

Ni wazi dunia inaelekea mwishoni coz watu wanakulana Sanaa 0713, bisha Sana ila huo ndio ukweli

Mfano mdogo TU hata hapa Jf ikitokea mtu kaleta mada hizo watu wengi wanachangia kwa Sanaa Yani, sio KE Wala ME.

Hata vitendo vya ulawiti vinakuwa kwa Kasi ya 5g kila siku ni tukio juu ya tukio, Mwenyezi Mungu atunusuru

Siku zote dalili ya mvua ni mawingu
FB_IMG_1724659807193.jpg
 
Back
Top Bottom