Mwandishi aliyeandika tuhuma za RC Simiyu adaiwa kukamatwa na Polisi
Kitoto cha chuo chenyewe ni kishenzi, kikafanyiwa ushenzi, ajabu jamii inalalamika, kale katoto mpaka kanaamua kuripoti polisi itakuwa kalitaka kupandishiwa dau la kusuguliwa nyuma jamaa akakataa ndio kakaamua kwenda polisi.
Hii kesi mimi ilinikuta Mpanda.

Binti anataka laki nne ama akaniripoti polisi kwamba nimefanya kinyume na maumbile. Bahati nzuri mimi nikaenda kuripoti kabla yake.

Polisi wakampigia aje kituoni akakimbia.

Hizo huwa ni blackmail, and i will never pay blackmail bora nifungwe.
 
Kuna taarifa za kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo ambae pia ni mmiliki wa Dima Online aliyechapisha kwa mara ya kwanza taarifa ya tuhuma za aliyekuwa RC Simiyu kulawiti, mwandishi huyu amekamatwa Tarime usiku wa kuamkia Juni 13, 2024.

Taarifa za awali zinadai kuwa mwandishi huyu kakamatwa Tarime mkoani Mara na Askari kutoka mkoa wa Mwanza na amesafirishwa kwenda Mwanza .

Matukio Daima Media inamtafuta RPC wa Mara na Mwanza kwa taarifa kamili.

CHANZO - MATUKIO DAIMA MEDIA
Ila kama yeye ndio kaitoa ile taarifa ya siri ya polisi ametenda kosa
 
Duh...!, hizi mambo zimeanza tena?!..., au Maza nae anaelekea kuwa like Maza like Faza?!.
Tusubirie taarifa ya Edwin Soko wa MPC, kuthibitisha ni polisi maana Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...
P
Uwezo wa huyu mama kuongoza nchi ni mdogo mno,anapenda kusifiwa tu kama alivyokuwa Magufuli,kuna makumi ya watu wamepotea Tangu Samia awe Rais,bado Tanzania siyo salama hata kidogo kwa waandishi werevu wa Habari,labda makanjanja ya CCM ndo yapo salama,yote kwa yote, MUNGU yupo,yuko wapi Magufuli?
Duniani tunapitia ttu,acha watese watu ipo siku yao.
 
Kitoto cha chuo chenyewe ni kishenzi, kikafanyiwa ushenzi, ajabu jamii inalalamika, kale simply kalikutana na ajali kazini.

Katoto mpaka kanaamua kuripoti polisi itakuwa kalitaka kupandishiwa dau la kusuguliwa nyuma, jamaa akakataa ndio kakaamua kwenda polisi, naamini kama kangepewa pesa ya huduma ya nyuma kangeendelea kucheka cheka tu.
hako kabinti ni issue!, kalimfunga dereva boda boda akapigwa mvua 30 kwa kesi ya kubaka wakati in reality ni yeye mwenyewe alitoroka kwao akahamia kwa dereva boda!. Ushahidi wa kubakwa ni uchunguzi wa hospital na kukutwa hana seal!hivyo boda akafungwa miaka 30!.

P
 
Kwa jicho la D mbili.....Nimeanza ku-connect dots!.... Kwamba ni kweli hii kesi ni ya kutengenezwa!

Huyu mwandishi Joyce maningo wambane sawa sawa...kufuatilia mawasiliano yake wiki moja nyuma!

Pia haiwezekani mhanga Ambae anadai alilawitiwa...hii ikawa ni kesi yake ya pili!... Baada ya Ile aliyodai kubakwa sumbawanga 2019 na mtuhumiwa Akala mvua 30... Pia Ile kesi ikatiwe rufaa...uchunguzi uanze upya!

Mtuhumiwa hii ni mara ya pili kesi aina moja!?....: Kuna walakini!
 
Hii kesi mimi ilinikuta Mpanda.

Binti anataka laki nne ama akaniripoti polisi kwamba nimefanya kinyume na maumbile. Bahati nzuri mimi nikaenda kuripoti kabla yake.

Polisi wakampigia aje kituoni akakimbia.

Hizo huwa ni blackmail, and i will never pay blackmail bora nifungwe.
Yule RC hakujiongeza, alinyamaza akiamini mambo yangeishia ndani ya gari kumbe kabinti kakasonga mbele, RC kuja kushtuka ameshawahiwa ikabidi aanze kutuliza hali kwa kukatuliza kabinti kwa kukapa hela kafute kesi, na vitoto vikishupalia jambo huwa vina viherehere haviskii...
 
Kuna taarifa za kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo ambae pia ni mmiliki wa Dima Online aliyechapisha kwa mara ya kwanza taarifa ya tuhuma za aliyekuwa RC Simiyu kulawiti, mwandishi huyu amekamatwa Tarime usiku wa kuamkia Juni 13, 2024.

Taarifa za awali zinadai kuwa mwandishi huyu kakamatwa Tarime mkoani Mara na Askari kutoka mkoa wa Mwanza na amesafirishwa kwenda Mwanza .

Matukio Daima Media inamtafuta RPC wa Mara na Mwanza kwa taarifa kamili.

CHANZO - MATUKIO DAIMA MEDIA
Mimi ninaona sio swala la kukamatwa, Bali suala la kiuchunguzi, alipataje taarifa nk
 
Uwezo wa huyu mama kuongoza nchi ni mdogo mno,anapenda kusifiwa tu kama alivyokuwa Magufuli,kuna makumi ya watu wamepotea Tangu Samia awe Rais,bado Tanzania siyo salama hata kidogo kwa waandishi werevu wa Habari,labda makanjanja ya CCM ndo yapo salama,yote kwa yote, MUNGU yupo,yuko wapi Magufuli?
Duniani tunapitia ttu,acha watese watu ipo siku yao.
Uzalendo wa kweli kwa nchi yako ni kuisaidia nchi yako na viongozi wake. Badala ya kumnanga, Maza asaidiwe
P
 
Back
Top Bottom