Ndio mpaze sauti kumuokoa mwandishi mwenzenu mkuu. Tutarudi zama zile za visandarusi kuokotwa bahariniDuh...!, hizi mambo zimeanza tena?!..., au Maza nae anaelekea kuwa like Maza like Faza?!.
Tusubirie taarifa ya Edwin Soko wa MPC, kuthibitisha ni polisi maana Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...
P
by then atakua traumatized .Ataachiwa Kama Hakuna kosa alilofanya. Unyanyasaji wa Kijinsia bado ni janga sana!
Hii kesi mimi ilinikuta Mpanda.Kitoto cha chuo chenyewe ni kishenzi, kikafanyiwa ushenzi, ajabu jamii inalalamika, kale katoto mpaka kanaamua kuripoti polisi itakuwa kalitaka kupandishiwa dau la kusuguliwa nyuma jamaa akakataa ndio kakaamua kwenda polisi.
Hiyo ndio Gharama yakua mwanaharakati Sehemu popote pale, It always comes with a cost, ndio maana wengine hatuko nao tena kwasababu ya haya.by then atakua traumatized .
Ila kama yeye ndio kaitoa ile taarifa ya siri ya polisi ametenda kosa
Kuna taarifa za kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo ambae pia ni mmiliki wa Dima Online aliyechapisha kwa mara ya kwanza taarifa ya tuhuma za aliyekuwa RC Simiyu kulawiti, mwandishi huyu amekamatwa Tarime usiku wa kuamkia Juni 13, 2024.
Taarifa za awali zinadai kuwa mwandishi huyu kakamatwa Tarime mkoani Mara na Askari kutoka mkoa wa Mwanza na amesafirishwa kwenda Mwanza .
Matukio Daima Media inamtafuta RPC wa Mara na Mwanza kwa taarifa kamili.
CHANZO - MATUKIO DAIMA MEDIA
Ila ulimfanya kweliHii kesi mimi ilinikuta Mpanda.
Binti anataka laki nne ama akaniripoti polisi kwamba nimefanya kinyume na maumbile. Bahati nzuri mimi nikaenda kuripoti kabla yake.
Polisi wakampigia aje kituoni akakimbia.
Shetani hana rafiki nduguDuh...!, hizi mambo zimeanza tena?!..., au Maza nae anaelekea kuwa like Maza like Faza?!.
Tusubirie taarifa ya Edwin Soko wa MPC, kuthibitisha ni polisi maana Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...
P
Uwezo wa huyu mama kuongoza nchi ni mdogo mno,anapenda kusifiwa tu kama alivyokuwa Magufuli,kuna makumi ya watu wamepotea Tangu Samia awe Rais,bado Tanzania siyo salama hata kidogo kwa waandishi werevu wa Habari,labda makanjanja ya CCM ndo yapo salama,yote kwa yote, MUNGU yupo,yuko wapi Magufuli?Duh...!, hizi mambo zimeanza tena?!..., au Maza nae anaelekea kuwa like Maza like Faza?!.
Tusubirie taarifa ya Edwin Soko wa MPC, kuthibitisha ni polisi maana Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...
P
cocastic maoni yako tafadhaliTanzania waruhusu watu walawitiane iwe ruksa rasmi
Kisheriaaa
Maana mambo ya kufichiana hatutaki
Ova
hako kabinti ni issue!, kalimfunga dereva boda boda akapigwa mvua 30 kwa kesi ya kubaka wakati in reality ni yeye mwenyewe alitoroka kwao akahamia kwa dereva boda!. Ushahidi wa kubakwa ni uchunguzi wa hospital na kukutwa hana seal!hivyo boda akafungwa miaka 30!.Kitoto cha chuo chenyewe ni kishenzi, kikafanyiwa ushenzi, ajabu jamii inalalamika, kale simply kalikutana na ajali kazini.
Katoto mpaka kanaamua kuripoti polisi itakuwa kalitaka kupandishiwa dau la kusuguliwa nyuma, jamaa akakataa ndio kakaamua kwenda polisi, naamini kama kangepewa pesa ya huduma ya nyuma kangeendelea kucheka cheka tu.
Yule RC hakujiongeza, alinyamaza akiamini mambo yangeishia ndani ya gari kumbe kabinti kakasonga mbele, RC kuja kushtuka ameshawahiwa ikabidi aanze kutuliza hali kwa kukatuliza kabinti kwa kukapa hela kafute kesi, na vitoto vikishupalia jambo huwa vina viherehere haviskii...Hii kesi mimi ilinikuta Mpanda.
Binti anataka laki nne ama akaniripoti polisi kwamba nimefanya kinyume na maumbile. Bahati nzuri mimi nikaenda kuripoti kabla yake.
Polisi wakampigia aje kituoni akakimbia.
Hizo huwa ni blackmail, and i will never pay blackmail bora nifungwe.
Bila kujulikana eeh? 😅Huyu dada nae hakujua jf Kuna sehemu ya dokezo unadokeza bila kujulikana
Na Dr. Gwajima atataka mwandishi afungiweNchi ngumu sana hii. Hapo atatafutiwa kesi ya utakatishaji fedha, uchochezi, ukiukaji wa maudhui ya kuweka taarifa mtandaoni, kuendesha chombo cha habari huku akiwa hana kibali, nk.
Tatizo ni kuandika habari ya kigogo, angekuwa mtu wa kawaida hangekamatwaAtaachiwa Kama Hakuna kosa alilofanya. Unyanyasaji wa Kijinsia bado ni janga sana!
Kaleta balaa nyumbani kwa.....Siri Imefichuka, kosa la Mesenja kaleta balaa 😂😂😂
Kwako mrangi ova
Mimi ninaona sio swala la kukamatwa, Bali suala la kiuchunguzi, alipataje taarifa nk
Kuna taarifa za kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo ambae pia ni mmiliki wa Dima Online aliyechapisha kwa mara ya kwanza taarifa ya tuhuma za aliyekuwa RC Simiyu kulawiti, mwandishi huyu amekamatwa Tarime usiku wa kuamkia Juni 13, 2024.
Taarifa za awali zinadai kuwa mwandishi huyu kakamatwa Tarime mkoani Mara na Askari kutoka mkoa wa Mwanza na amesafirishwa kwenda Mwanza .
Matukio Daima Media inamtafuta RPC wa Mara na Mwanza kwa taarifa kamili.
CHANZO - MATUKIO DAIMA MEDIA
Uzalendo wa kweli kwa nchi yako ni kuisaidia nchi yako na viongozi wake. Badala ya kumnanga, Maza asaidiweUwezo wa huyu mama kuongoza nchi ni mdogo mno,anapenda kusifiwa tu kama alivyokuwa Magufuli,kuna makumi ya watu wamepotea Tangu Samia awe Rais,bado Tanzania siyo salama hata kidogo kwa waandishi werevu wa Habari,labda makanjanja ya CCM ndo yapo salama,yote kwa yote, MUNGU yupo,yuko wapi Magufuli?
Duniani tunapitia ttu,acha watese watu ipo siku yao.