Katoto cha miaka 21 kanakuwa na experience ya aina hii.!! Inawezekana kabisa hiyo seal haikutolewa na boda, kalitolewa zamani kakawa kanacheka cheka tu.

Umalaya tayari upo damuni, kanajiamini kutembea na yeyote, hakaogopi chochote, na ni kajanja kanajua kupigania haki zake kama mkienda kinyume cha makubaliano!. she is simply a gold digger.

- Wanaume ni kuwa makini sana na kale kabinti, kataumiza wengi kwa experience ya umalaya wake, muhimu sana kuikariri ile picha yake.

Natamani sana nijue historia ya malezi ya huyo mtoto nina shaka kama amelelewa na wazazi wote wawili kwa ukaribu, naamini kuna shida mahala.
 
Aisee
 
Huyu binti hayuko peke yake, kuna watu wanampush akomae kwa ajili ya kumharibia RC, angekuwa peke yake kesi ingeshazimwa kimya kimya.

RC nae alileta kiburi cha mamlaka, inawezekana alidhani binti hawezi kushtaki.
 
Halafu kanavuta skanka hako ni kakutupa lupango tu kasiendelee kuharibu jamii
 
Tatizo la RC hadi afanyie Rocky City Mall, alafu mbaya zaidi kesi ya ulawiti..!! Uzuri hili suala limekuwa la Jamhuri, so tuache sheria ichukue mkondo wake..!!
 
Hali ni tete, Jamiiforums wenyewe kuna ule uzi niliufungua, nikitaka watu wasome hukumu halafu wateambie walichogundua, lakini watu wakashindwa uzi ulibaki salama.
Pale wewe ulipochangia nikakufungulia code kuwa mhusika ni yule bint. uzi nao ukapotezwa palepale
 
Ila ulimfanya kweli
Hamna, Yeye ndio aliiweka kule, kila nikiitoa anaiweka tena.

Asubuhi niko zangu Nsemulwa kwa Mkumbo nakula Makongoro, mtu ananitumia meseji.'' Jana umeniumiza nipe hela niende hospitali'' Nauliza sh ngapi? Eti ''Laki nne''.

Nikamwambia go to hell!

Yaani tukutane Digital usiku, unywe ujidai umelewa sana ukanifirishe, halafu uanze kudai laki nne.
 
Ngoja tusubirie ukweli maana sasa inaonekana mkorogo umeanza. Ila mi nasema hata kama wanamdhibiti mama kutokana na uwezo wake namsifu akipata hizi habari za kidhalimu kuhusu wateule wake anawatema hapohapo. Mnakumbuka yuke naimu waziri wa sheria aliyetuhumiwa kumdhalilisha yuke kijana babati mama alimtema hapohapo. Na haka kakora siju alikateua kwa ushauri wa nani kakatema hapohapo. Kwa hili heko mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…