denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Katoto cha miaka 21 kanakuwa na experience ya aina hii.!! Inawezekana kabisa hiyo seal haikutolewa na boda, kalitolewa zamani kakawa kanacheka cheka tu.hako kabinti ni issue!, kalimfunga dereva boda boda akapigwa mvua 30 kwa kesi ya kubaka wakati in reality ni yeye mwenyewe alitoroka kwao akahamia kwa dereva boda!. Ushahidi wa kubakwa ni uchunguzi wa hospital na kukutwa hana seal!hivyo boda akafungwa miaka 30!.
P
Umalaya tayari upo damuni, kanajiamini kutembea na yeyote, hakaogopi chochote, na ni kajanja kanajua kupigania haki zake kama mkienda kinyume cha makubaliano!. she is simply a gold digger.
- Wanaume ni kuwa makini sana na kale kabinti, kataumiza wengi kwa experience ya umalaya wake, muhimu sana kuikariri ile picha yake.
Natamani sana nijue historia ya malezi ya huyo mtoto nina shaka kama amelelewa na wazazi wote wawili kwa ukaribu, naamini kuna shida mahala.