Nina hakika hata huyu RC alikuwa Black Mailed. Watu wanashangilia hayajawakuta.
 
Simulizi tamu hili, jazia nyama mkuu, ilikuwaje hadi akutishie kukufikisha Polisi?

Tutapopata stori kamili tunajifunza namna ya kujihadhari na hao matapeli.
 
Aisee
 
Unahitaji vyombo vya habari kufichua uovu kwenye jamii na kuipa pressure serikali kuchukua hatua.

Vyombo vya habari ni mhimili wa nne kwenye nchi, wanatakiwa kulindwa. Swala ambalo polisi wenyewe wameshafikishiwa na wamemkamata mtuhumiwa, huyo mwandishi anahusika vipi.

Mambo kama haya ya intimidation kwa waandishi hasa kipindi hiki ambacho maadili yameshuka sana unahitaji vyombo vya habari kusaidia kupambana hiyo vita mmomonyoko wa maadili.

Nape, Dr. Gwajima, IGP Wambura, taasisi za dini, wanasiasa na human rights groups wanatakiwa wakemee ili.

Namna watakavyoamua hiyo kesi ya ubakaji watajua wenyewe huko polisi kama kuna kesi au la. Lakini tabia ya kuwatisha waandishi wa habari through harassment hasa kipindi hiki nchi inawahitaji kuibua uovu is unacceptable.
 
Mambo ya kuharibiana cv huwa yanaanzia mbali sana, inawezekana labda amekamatwa ili kutoa ushirikiano wa namna alivyopata habari.
 
Siku hizi Kuna watu wanajiita waandishi wahabari. Ukiwafuatilia ni vishoka wa fani ya habari.
Kundi hili lisajiliwe ,Kuna vijana wamemaliza kidato cha nne,ni vishoka wa habari,na ofis hawana
 
tobaaaa, sasa wakat analazimisha kuingiza kule si ungemwambia hutaki, au na wewe ni mdau mkuu?
 
Watu wanapenda kushangilia wenzao wakipata majanga.

Inasemekana huyo binti ni malaya mzoefu.
Kuna mwamba alisema hapo rock city ndo kiwanja chake, na alishamchukua kwa 50k na badae akataka nyongeza ili atoe kule jamaa akamwambia sio mdau wa kule, hako kabint ni shida since 2019, kuna boda alikula mvua 30 kisa hako ka bint kumsingizia kukabaka, soma comment ya mayalla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…