BEZO
JF-Expert Member
- Jul 15, 2023
- 1,770
- 4,449
Nina hakika hata huyu RC alikuwa Black Mailed. Watu wanashangilia hayajawakuta.Hii kesi mimi ilinikuta Mpanda.
Binti anataka laki nne ama akaniripoti polisi kwamba nimefanya kinyume na maumbile. Bahati nzuri mimi nikaenda kuripoti kabla yake.
Polisi wakampigia aje kituoni akakimbia.
Hizo huwa ni blackmail, and i will never pay blackmail bora nifungwe.