granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
alimsingizia period, hutaki kajinyonge.Hakumsingizia, tafuta hukumu uisome. Binti alikuwa kidato Cha pili na alikuwa na miaka 16, alikuwa na boyfriend bodaboda, walikubaliana aondoke kwao Ili amuoe..wakakamatwa na polisi. Kwakuwa alikuwa underage bodaboda alifunguliwa kesi ya ubakaji. Katika ushahid mahakamani huyu binti hakusema kwamba alibakwa, alisema walifanya mapenzi na walikubaliana atoroke kwao Ili waende Moro amuoe. Yule jamaa alihukumiwa miaka 30 jela kwa kubaka lkn badae alikata rufaa akapunguziwa kifungo Hadi miaka Saba.