Mwandishi aliyetoa habari za vifo vya wanajeshi wa IDF kauliwa na Mossad

Hezbollah yatoa picha za roketi katika kituo cha uchunguzi wa anga cha IDF kaskazini mwa Israel. Katika hotuba yake siku moja kabla, Nasrallah alikuwa amesema kuwa Israel imekuwa na usiri kuhusu watu waliopoteza maisha na kuangamiza shabaha zao, kwa hivyo hii inaonekana ilikusudiwa kuleta uhakika nyumbani.
haaretz.com/israel-news/20…
 
Hizo taarifa ukiziangalia kwa jicho la uchunguzi ni zile tunaita fake news au planted report, zikiwa n lengo la kuleta taharuki katika jamii ya kiyahudi.
 
Hizo taarifa ukiziangalia kwa jicho la uchunguzi ni zile tunaita fake news au planted report, zikiwa n lengo la kuleta taharuki katika jamii ya kiyahudi.
Hivi kwa nini Mayahudi weusi wengi wa Yombo, Chanika, Kimara, Bonyokwa, Maramba mawili, huwa wakuwa na roho ngumu kuzidi Mayahudi wa Israel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…