Mwandishi aliyetoa habari za vifo vya wanajeshi wa IDF kauliwa na Mossad

Unashangaa Gaza magofu wakati kijijini kwenu mnakunya kwe choo cha shimo mlango gunia.

Unajua kama kuna mfuko wa kujenga Gaza unasimimiwa na Qatar.

Tuma pesa nyumbani mjenge choo.
Gaza haijengeki tena we endelea kuota ndoto za mchana,
 
Gaza imebaki magofu
Hili ndio lengo la vita la hao mabwana zako? Lengo ni kuifuta Hamas na kuwapata mateka wao,je malengo yao yametimia?

Vita sio kubomoa majumba kijana,ushindi hupatikana pale unapotimiza malengo yako,nje ya hapo unahesabika umefeli,wayahudi waliopo Tel Aviv wanasema vita imewashinda ila wewe uliyepo huko Shelui ndani ndani unasifia!
 
idadi kubwa ya wanajeshi waliouawa itakuwa ngumu kuficha katika nchi ndogo kama Israeli. Je, haipaswi kuwa na mazishi zaidi na familia zinazoomboleza? Au bado familia hazijui? Tusisahau jinsi Marekani hapo awali ilidanganya kuhusu vifo vya Vietnam.
Nuliwahi kuleta video ya mtunza maiti wa Idf akilalamika maiti zinanuka sana na makontena hayatoshi, toka zamani wenye akili walishajua Idf anapika data ya idadi ya wanajeshi wao wanaokufa.
 
Hezbollah's executive council chairman, Hashem Safi al-Din to Israel:

“If you think that there are hidden bases that we cannot hit, then we tell you that there is no such thing in the face of Hezbollah's missiles and capabilities, all the sites in israel are within the range of Hezbollah's missiles.”
 
Hili ndio lengo la vita la hao mabwana zako? Lengo ni kuifuta Hamas na kuwapata mateka wao,je malengo yao yametimia?

Vita sio kubomoa majumba kijana,ushindi hupatikana pale unapotimiza malengo yako,nje ya hapo unahesabika umefeli,wayahudi waliopo Tel Aviv wanasema vita imewashinda ila wewe uliyepo huko Shelui ndani ndani unasifia!
Lengo ni kuondoa wapalestina wote gaza na hilo limewezekana kwa %100 na huo ndio ushindi wenyewe
 
Nuliwahi kuleta video ya mtunza maiti wa Idf akilalamika maiti zinanuka sana na makontena hayatoshi, toka zamani wenye akili walishajua Idf anapika data ya idadi ya wanajeshi wao wanaokufa.
gaza maiti zinazikwa kwa skaveta
 
Hezbollah's executive council chairman, Hashem Safi al-Din to Israel:

“If you think that there are hidden bases that we cannot hit, then we tell you that there is no such thing in the face of Hezbollah's missiles and capabilities, all the sites in israel are within the range of Hezbollah's missiles.”
waneno matupu hayasaidii
 
Tatizo lako unafikiri wazayuni wanakutambua wewe golo halafu mkristo?

Mkristo kwa mazayuni ni najisi tu.
Next time acheni kulia lia mnapochokoza watu muwe mmejipanga, habari za kukimbilia kwenye mashimo kama fuko muache,
 
Huenda umri wako mdogo toka mwaka 1948 wanasema hivyo kwenye vitendo sasa mpaka leo mwezi 4 wanashindwa kuingia Gaza kuchukua mateka wao Gaza yenyewe Kigamboni kubwa.
Lengo sio kuchukua mateka shekhe lengo ni kuifuta gaza na hilo limefanikiwa kwa %100
 
Wewe Muisrael mweusi wa Tukuyu hujui lolote bakia na ushabiki mandazi Waisrael wenyewe wanaomba suluhu na Hezbollah.
kwenye vita hicho kitu kawaida sanaaa,
 
Back
Top Bottom