Mwana Taaluma
JF-Expert Member
- Oct 21, 2019
- 705
- 1,662
Vyuma chakavu vinaanguka tu. Ka nkala kan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo kwenye hizi makitu we huelewi kitu so tulia, futa maji maji hayo kwenye nchonyo.Gaza haijengeki tena we endelea kuota ndoto za mchana,
Asicho elewa ni kua Ile fast attack ya idf kupiga majengo ilikua ni kuitisha Hamas iogope Ione huu mziki wa wakubwa hivyo watoto wakalale. Sasa wamejikuta wao ndio inatakiwa wakalale wakubwa waendelee kulisakata gonna.Hili ndio lengo la vita la hao mabwana zako? Lengo ni kuifuta Hamas na kuwapata mateka wao,je malengo yao yametimia?
Vita sio kubomoa majumba kijana,ushindi hupatikana pale unapotimiza malengo yako,nje ya hapo unahesabika umefeli,wayahudi waliopo Tel Aviv wanasema vita imewashinda ila wewe uliyepo huko Shelui ndani ndani unasifia!
Anaona kama kaona kinyesiKwani hujui mazayuni sio binadamu, hata mbweha na fisi wana unafuu! Hata wewe na uyahudi wako weusi akikuona hakuchukulii kama wao kwa wao.
Vikosi vya Al-Qassam katika kambi ya Jenin:
Vikosi vya askari wa miguu vya Kizayuni viliangukia kwenye mtego waliowekewa katika mji wa Jenin, na kuthibitisha kwamba idadi kubwa ya wanajeshi wa Israel walijeruhiwa vibaya.
View: https://x.com/sprinter99800/status/1743787980127363417?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Sawa ila hao ni raia wa kawaida sio militant wa kipalestina, hata Hamas ingekua lengo lao ni kuua Raia wa kawaida wa Israel wamgewaua wengi tu, Zile Iron Dome zinalinda tu Maslahi ya Israel na sio raia wote, Kuna maeneo kibao Israel unaweza dondosha rocket na kuua watu ila Hawafanyi hivyo sababu lengo lao si kuua watu Bali kupigana na Serikali ya Israel.gaza maiti zinazikwa kwa skaveta
Sasa ndio nn kibod wariya😀🤣😀H
Hivi nyie mafarisayo huwa mnafikiri kwa kutumia nini?, maana sio ubongo kabisa ni tope
Mtu kaenda kusoma, halagu mnamuua?
Nasemaje Israel piga hao mbwa mpaka wachakae
Kwani walikubeba?Hamasi wameniangusha kwa kweli
Wamenda peponi hao ngombe kachukua dhambi zao hao 😄Wahindi wanne waliuawa huko Gaza na Hamas wakati wakipigania jeshi la Israeli kama mamluki wa kigeni.
Ubalozi wa India mjini Tel Aviv ulipokea miili hiyo.
View: https://x.com/globeeyenews/status/1743909955055595887?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Lini walikubeba?Hamasi wameniangusha kwa kweli
Lini walikubeba?Hamasi wameniangusha kwa kweli
Jamaa wanapiga kila kitu... Palestine itabak na magofu na makaburi tu... Inaumiza sanaMR UHARO NO 2🤣
🤣🤣🤣
Muisrael mweusi wa Tukuyu anakuja lengo lake sasa wewe goro na White House National Security Council spokesperson John Kirby, tumuamini nani? Msome John Kirby.
Kirby acknowledges, though, that while it’s possible for Israel to significantly degrade Hamas’s capabilities by eliminating the terror group’s leadership, the IDF won’t likely be able to “erase the group from existence.”
“You are probably not going to eliminate the ideology,” Kirby says, reiterating the US belief that only by presenting a viable path toward peace can the vision of Hamas be successfully combated.
Wanasema hawezi kuifuta Hamas wewe Muisrael mweusi unashindwa hata kujitibu UTI unasema wameifuta
Dogo kwenye hizi makitu we huelewi kitu so tulia, futa maji maji hayo kwenye nchonyo.
Unajua 1945 Kalingrad au Berlin, Warsaw,Paris nagasaki na Hiroshima zilivyo kua?
We unasema Gaza technology imekua ya ujenzi hapo miezi mitatu mpaka sita ground inakua nyeupe. Wachina Wana mwagwa hapo kuijenga upya Gaza. Sema muwe mnakua
Dogo kwenye hizi makitu we huelewi kitu so tulia, futa maji maji hayo kwenye nchonyo.
Unajua 1945 Kalingrad au Berlin, Warsaw,Paris nagasaki na Hiroshima zilivyo kua?
We unasema Gaza technology imekua ya ujenzi hapo miezi mitatu mpaka sita ground inakua nyeupe. Wachina Wana mwagwa hapo kuijenga upya Gaza. Sema muwe mnakua
Ni vyema kama mngeenda kuongeza nguvu gaza kuliko kuendelea kujificha nyuma ya keybord,Lini walikubeba?
Unafikiri ni ushabiki wa yanga na simba ule?
Kama mtume (Pedophile) alivyomfanyia Aisha.Kwa hiyo sasa hivi hauna bikra zote? Daaa atakuwa Baba Askofu kafanya yake…
Mnamuonea wivu sana bi Aisha kama vile shetani alivyo muonea Adam wivu. Ukristo na ushetani vinambatana kabisa.
Hakuna jengo litasimama tena Gaza.Unashangaa Gaza magofu wakati kijijini kwenu mnakunya kwe choo cha shimo mlango gunia.
Unajua kama kuna mfuko wa kujenga Gaza unasimimiwa na Qatar.
Tuma pesa nyumbani mjenge choo.