Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikwisha tangulia mbele za haki.
<br /><b>Kwa hakika, inaumiza sana kwamba alipofariki hakuna hata makala moja iliyoandikwa juu yake na waandishi wenzake. kama ipo, nipo tayari kukosolewa. Ametutoka kimya kimya mno kwa mtu aliyekuwa na jina kubwa katika sanaa ya habari kama yeye. Mdau uliyeleta makala ya Munga umenishitua sana kwamba hata kwenye msiba wake kulitokea mambo kama aliyoandika. Inasikitisha</b>.
..Wadau naomba kujuwa alipo mwandishi maarufu wa makala ,na one time mhariri na mmiliki wa gazeti la JITAMBUE...ameandika vitabu vingi vya lugha na hadithi...na kuna wakati alikuwa na TALK SHOW pale TBC1 Wakati ikiwa TVT........pia amewahi kuwa majira publishers..nadhani mharriri wa vitabu..among other things...
..MHARIRI ..MUNGA TEHENAN....
RIP Munga, nazikumbuka sana makala zako kwenye gaziti la 'Jitambue'.
Munga ni mmoja ya watu ambao wananifanya nitamani kuwapo kwa teknologia ambayo binaadamu tunaweza ku'copy' kumbukumbu kutoka kwa mtu mmoja na kuhamishia kwa mtu mwingine au tu kuzihifadhi (I mean to copy intelligence from a person before he dies so that we can later on paste into one or more other living persons or access it for other uses).