Mwandishi wa habari wa Aljazeera ambaye pia ni gaidi la HAMAS

Mwandishi wa habari wa Aljazeera ambaye pia ni gaidi la HAMAS

" WAAFRIKA ni viumbe WAPUUZI….

Watu (45,000) wanafariki kila mwezi katika ardhi ya DR Congo kwa sababu ya vita…. Watu 2,000 na ushee israeli na Palestina imekuwa wimbo wa Dunia na waafrika wanaimbishwa pray for this and that..

Utafiti wa International Rescue Committee (@RESCUEorg) unaonyesha watu milioni 5.6 katika miaka 9 pekee (kati ya mwaka 1998 hadi mwaka 2007) walifariki kutokana na vita DR Congo.

Huo ni wastani wa vifo 1,500 kwa siku, lakini sio habari kubwa kwa waafrika. Kwa maana nyingine ni kwamba, kuanzia mwaka 1998 hadi 2007, kila siku DRC kuna vifo vya idadi ya watu karibu sawa hao waliofariki huko Israeli na Palestina

Raia wengi wa DR Congo wanafariki kutokana na kukosa huduma za kijamii kama hospitali, magonjwa mengi ya milipuko na kuambukiza, njaa kutokana na kukosa makazi na utulivu, hawazalishi.

Vita, ukoloni, utumwa, ufisadi yamebadilisha taifa hili ambalo licha ya kuwa miongoni mwa mataifa tajiri zaidi duniani, sasa limekuwa masikini zaidi. DR Congo imebarikiwa kila aina ya madini.

DR Congo nchi tajiri zaidi duniani kwa maliasili. Madini mengi ghafi hayajatumika yenye thamani ya hadi takriban $24 trilioni. Huu ni uchumi wa USA na Ulaya kwa pamoja.

Kuna aina zaidi ya 1,100 za madini katika ardhi ya nchi ya DR Congo. Amana hizi ni pamoja na akiba kubwa zaidi ya madini ya coltan na kiasi kikubwa cha madini ya kobalti.

80% ya ardhi ya DR Congo inafaa kwa kilimo. DR Congo ina eneo sawa na Ulaya Magharibi. Ulaya Magharibi ni England, France, Germany, Italy, Netherlands, Spain, Portugal, Belgium, Austria.. etc.

DR Congo ina hazina ya 10% ya hifadhi ya shaba Duniani. 30% ya cobalt ya Dunia. DR Congo inazalisha 80% ya madini ya coltan yanayotumika kutengeneza simu, ipods, sumaku, Jet engine.

DR Congo inazalisha madini ya Uranium. Vita ya pili ya Dunia, Marekani alipiga miji miwili ya Japan (Hiroshima na Nagasaki) kwa mabomu ya atomic. Mabomu yalitengenezwa na madini ya Uranium.

DR Congo inamiliki ardhi ambayo inatoa madini ya almasi, dhahabu, bauxite, graphite, fedha, zinki. Pia wanayo madini ya lead ambayo yanatumika kutengeneza risasi na mabomu.

DR Congo ina ardhi yenye mafuta. Kuna misitu mikubwa yenye miti mikubwa. Wanyama, vivutio vya watalii katika milima ya Virunga na Ituri. Mito na mabonde yenye unyevu na rutuba. Maziwa na bahari.

Mto Congo ni mto wa pili kwa ukubwa Duniani. Kuna maporomoko (Inga Water Falls) ambayo yanaweza kuzalisha umeme wa kusambazwa Afrika na Ulaya kwa wakati mmoja.

Makundi yenye silaha ya M23, ADF, FDLR, CODECO, RED-Tabara na wengine yamesababisha majanga ya kibinadamu na ukiukwaji wa haki za binadamu, ikiwa ni pamoja na unyanyasaji wa kijinsia.

Tangu kuibuka upya kwa kundi la M23 mwezi Novemba 2021, ‘Zaidi ya watu 500,000 wamelazimika kukimbia makazi yao. Hili ni kundi linalofadhiliwa na serikali ya Rwanda chini ya Rais Paul Kagame.

Jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Kongo limelaaniwa kabisa na utajiri wake wa madini hayo. DR Congo ni ulimwengu usio na matumaini kwa raia wake. Ni jehanamu kwa wananchi wake.

DR Congo yenye raia 75 milioni, asilimia 80 ya raia wake, sawa na 60 milioni wanaishi chini ya kipato cha dola moja (Sh2,500). Umoja wa Mataifa wanaeleza, zaidi ya watu milioni 5.7 wanakabiliwa na uhaba wa chakula DRC

Wageni kutoka nje ya DR Congo wamevamia ardhi na kuifanya uwanja wa mapigano na mavuno ya rasilimali za watu wa Congo. Watu wa DR Congo wamebaki kuwa maskini wa kutupwa.

Wageni wamesababisha machafuko, wamevuruga utaratibu wote wa uchumi, wameiba mali nyingi za nchi ya DR Congo. Wananchi wa DR Congo wamekimbia makazi yao sasa ni wakimbizi.

Machafuko yanaifanya DR Congo kuwa nchi tajiri kwa rasilimali Duniani lakini taifa maskini zaidi Afrika wakati mataifa ya magharibi yakiendelea kunufaika na vita ndani ya DR Congo.

Wanaosababisha vita DR Congo ni mabeberu wanaoleta silaha za kivita na misaada ya kijeshi wao wanachimba madini na kupeleka kwao. Tuwaambie Acheni kupora mali ya DRC! Ondoeni mikono yenu DRC!

Hupati waafrika au watanzania wanafunga na kuomba kwa ajili ya nchi kubwa Afrika ya DR Congo. Utawasikia wakichakarika na
Pray for Ukraine,
Pray for Israeli,
Pray for Palestina.
DR Congo haikumbukwi "
 
Kila mtu anafahamu hilo,ila hamasi ni kundi la kiislam linalotaka kuleta sera za kiislam hapo gaza,usilam na ugaidi ni kama tako na chupi,mayahudi acha ya fanye kazi yao kuondoa upuuzi huo hapo gaza.
Unachuki na Maarabu wewe.... Sisi Hamas tumeshashinda hivi vita
 
Stakabadhi zilizokutwa kwenye laptop zaonysha hawa waandishi wa Aljazeera ambao ni magaidi wa dini, yaani mimi siku hizi huwa sitazami chochote cha Aljezeera, mimi huwaona kama wote magaidi wa dini, ukishajiunga kwenye uzombi wa ile dini yaani wewe na ugaidi mnakua kama pete na chanda.....

577855

Al-Jazeera journalist Mohammed Wishah had a side job as a commander in Hamas's anti-tank missile units until 2022, evidence retrieved by the IDF revealed, the IDF's spokesperson for Arabic media, Avichay Adraee, announced on Sunday.

"In the morning, a journalist on Al Jazeera, and in the evening, a terrorist in Hamas!" wrote Adraee on X.

"During operations by our forces several weeks ago inside one of the Hamas camps in the northern Gaza Strip, a laptop belonging to someone named Muhammed Samir Muhammed Wishah, born in 1986 from Bureij, was seized where it is clear from the documents that Muhammed Wishah is a prominent commander in the anti-tank missile units in the military wing of Hamas."

At the end of 2022, Wishah transferred to work in the field of research and development in Hamas' aerial units, according to Adraee.
source jpost...em tutoleeni utoto,ukishindwa kubali propaganda ktk zama hizi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu
 
Uzuri wa maandishi usipoelewa unarudi tena kusoma. Usipoelewa unarudi tena na tena!

Hata kama no kubwa jinga mwisho utaelewa tu.

Ha ha ha!! Mumekua kama machizi, mnaandika andika tu, na bado, Rafah inapigwa sasa...
 
source jpost...em tutoleeni utoto,ukishindwa kubali propaganda ktk zama hizi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu

Wewe tuletee source za alla akbar..
 
Hivi Hamas wanapigania uhuru wa palestina au wanapigania dini. Acha upotoshaji aikusadii kitu zaidi ya kuonekana mpuuzi. Huyo anapigania taifa lake. And mind you, palestina Kuna waislam na wakristo pia. Makinisa mengi tu yameshambuliwa Gaza na pia wakristo wameuwa. Vilevile ukizania Isreal ni nchi ya wakristo unajidanganya tu asilimia kubwa ya wa Israeli ni wayaudi ukifuatiwa na waislamu alafu wakristo asilimia ndogo tu. Hi si vita ya kidini kama unavyotaka watu waamini
unaandika hueleweki hoja yako kuu ni ipi
 
Ndiyo maana Israel anaendelea kupiga kama kawaida maana hapo Gaza Hadi Bibi kizee ni gaidi
 
Stakabadhi zilizokutwa kwenye laptop zaonysha hawa waandishi wa Aljazeera ambao ni magaidi wa dini, yaani mimi siku hizi huwa sitazami chochote cha Aljezeera, mimi huwaona kama wote magaidi wa dini, ukishajiunga kwenye uzombi wa ile dini yaani wewe na ugaidi mnakua kama pete na chanda.....

577855

Al-Jazeera journalist Mohammed Wishah had a side job as a commander in Hamas's anti-tank missile units until 2022, evidence retrieved by the IDF revealed, the IDF's spokesperson for Arabic media, Avichay Adraee, announced on Sunday.

"In the morning, a journalist on Al Jazeera, and in the evening, a terrorist in Hamas!" wrote Adraee on X.

"During operations by our forces several weeks ago inside one of the Hamas camps in the northern Gaza Strip, a laptop belonging to someone named Muhammed Samir Muhammed Wishah, born in 1986 from Bureij, was seized where it is clear from the documents that Muhammed Wishah is a prominent commander in the anti-tank missile units in the military wing of Hamas."

At the end of 2022, Wishah transferred to work in the field of research and development in Hamas' aerial units, according to Adraee.
Huu sio ushahidi ni propaganda
 
Leo wanajeshi wawili wamerudishwa Israel kwenye majeneza, kuna wengine wameingia kwenye mtego kesho mtatangaziwa sio chini ya 5 wamefyekwa
 
Tumia akili walau kidogo, hii hapa dibaji ya manifesto ya HAMAS ambapo wanaita waislamu wote waifute Israel, ni uhuru upi huo mnaoupigania wa kutaka kufuta jamii nzima ya watu wa Israel kisa dini....

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
Israhell inatakiwa ifutwe kweli ndio njia pekee ya kupata amano duniani
 
I don't care about Arabs, I care about humanity. I suggest you do the same.

Kwa hili la hamas na ugaidi wa kidini acha wauwawe tu,dunia ya sasa sio ya kuendekeza dini ni upuuzi tu na kukosa akili.
 
Data center iliyopatikana imeanzabkuumbua wengi. Mateka wameanza kupatikana, wanafiki mbalimbali wanaochukua picha za watoto na kuzifanyia propaganda kwenye aljazira et " genocide in Gaza" wameanza kuwekwa hadharani
 
Hivi Hamas wanapigania uhuru wa palestina au wanapigania dini. Acha upotoshaji aikusadii kitu zaidi ya kuonekana mpuuzi. Huyo anapigania taifa lake. And mind you, palestina Kuna waislam na wakristo pia. Makinisa mengi tu yameshambuliwa Gaza na pia wakristo wameuwa. Vilevile ukizania Isreal ni nchi ya wakristo unajidanganya tu asilimia kubwa ya wa Israeli ni wayaudi ukifuatiwa na waislamu alafu wakristo asilimia ndogo tu. Hi si vita ya kidini kama unavyotaka watu waamini
Swali kwako mkuu! Magaidi wa famii forum wanaowaunga mkono Hamas mbona wanajinasibu kwenye uislam? Yaani wanadai ni Vita dhidi ya makafiri na waislamu
 
Back
Top Bottom