Mwandishi wa habari wa Aljazeera ambaye pia ni gaidi la HAMAS

Chuki haijawahi kumuacha mtu salama ,unamchukia mtu mpaka na vijukuu zake na bado havijazaliwa
 
Dunia imejaa unafki na misinformation. The moment umeanza kumuita gaidi ndo hapo ulipoonesha biasness yako.

Mtumwa wa fikra kabisa!
 
Mazombi yenu 30,000 yamewahishwa kwa akba akba, mimi sikutegemea mpaka sasa kuna mateka ako hai....
Wana mgambo wapo imara wanaua wazee na wakina mama, kwahiyo hii vita hakuna lengo watakalo fikia
 
Ondiek
 
Hata wewe nimtumwa pia, waisiram tatizo ldnu moja munachanganya tamaduni na dini tatizo linaanzia hapo. Ninarafiki muisiram aliniambia kunasiku alishindwa kukaribishwa futar kisa tu kakosa kanzu!
 
Msikilize Col. Lawrence Wilkerson akielezea vizuri tabia za hawa magaidi.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…