figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mwandishi wa Habari wa Azam TV Mkoani Kagera Nicolaus Mac Ngaiza amefariki dunia huku mwandishi wa Habari wa Clouds TV akijeruhiwa usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari eneo la Gwanseli lililopo Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera wakati wakitoka kwenye kazi.
.
#RIPNgaiza
Gari alilopata nalo ajali
.
#RIPNgaiza
Gari alilopata nalo ajali