Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahah sasa we unafikiri hizo bei zimeekwa kama kujifurahisha?Toyota tatizo Bei fikiria Vanguard iliyosimama mpaka bongo 35m wakat Xtrail 15m
Toyota Coaster ya kuagiza tu 40M na kodi inafika 60M huko ila Nissan Civilian 30M tu kuagiza na Kodi!
Nissan unanunua matatizo na yule CEO wao kapigwa ndani kwa ufisadi kwa maana walikuwa wana produce garbage 😅😅😅 kuanzia 2005-2012 hapo yeye anajiongezea mshahara tu!