TANZIA Mwandishi wa habari wa Azam, Nicolaus Mac Ngaiza amefariki kwenye ajali

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Mwandishi wa Habari wa Azam TV Mkoani Kagera Nicolaus Mac Ngaiza amefariki dunia huku mwandishi wa Habari wa Clouds TV akijeruhiwa usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari eneo la Gwanseli lililopo Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera wakati wakitoka kwenye kazi.
.
#RIPNgaiza


Gari alilopata nalo ajali
 
kila mmoja atakufa ila tutatofautiana tu jinsi ya kufa.
Ngaiza alikuwa ripota mzuri sana.
pole kwa wafiwa wote haswa Azam media kwa kumpoteza mfanyakazi mahiri na mwenye bidii.
tutendeane mema.
 
Xtrail imeisha na Ngaiza,, rest in Peace japo nilikuwa simfahamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ