"Anyway, this is a NATO war against Russia..." ameyasema hayo mwanahabari na mwanahistoria Angelo D'Orsi kuhusu mgogoro unaoendelea Ukraine.
View attachment 2241977
Akizungumza na Italian TV, mwandishi huyo pia alikosoa vikwazo vya Magharibi dhidi ya Urusi, ambavyo vinaikumba Ulaya yenyewe. Pia alihoji "the fact" kwamba NATO ni muungano wa kujihami.
"NATO... It behaves like an aggressive military organization, and it has always been so..." vile vile mwanahistoria huyo akasema kua muungano huo (NATO) umekua ukikiuka sheria za kimataifa katika migogolo ya mingi akitolea mfano Iraq, Libya, Syria na Yugoslavia.