waziri2020
Senior Member
- May 31, 2019
- 197
- 468
Mwandishi wa Milard Ayo wa Jijini Arusha Godfrey Thomas akiwa katika majukumu yake ya kawaida akiwarekodi wananchi walio funga barabara ya Arusha Dodoma.
Kwa madai ya kuchoshwa na vifo vya watoto kugongwa mara kwa mara na kupoteza Maisha ametekwa na kuchukuliwa vifaa vyake vyote vya kazi na kupelekwa pasipo julikana na msadiziwa wa Mkuu wa mkoa Paul Makonda mara baada ya kurekodi maandamano ya wanachi mpaka sasa mwandishi huyo ajulikani alipo na simu yake ukipiga inakatwa bila majibu.