Mabula Msirikale
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 657
- 1,540
Milard Ayo ni chawa wa mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Millard ni mlamba viatu acha kimkute
Hii imetokea jana tuUnapotoa taarifa kama hizi unatakiwa utaje siku ,kwa maana isije ukawa umetupa taarifa ya zamani kwako ikawa mpya
Huyo mwandishi anajitahidi sana kwa taarifa za kaskazini. Sema ndio hivyo boss wake kimeoYule mtoto ni mshenzi kupita kiasi. Reporting zake ziko biased na ni mshirika mzuri wa watesi wa wapenda haki.
Huyo mwandishi sahv huko atakuona kuchunguHuyo mwandishi anajitahidi sana kwa taarifa za kaskazini. Sema ndio hivyo boss wake kimeo
Ana report sana habari za kaskazini,naona kuna watu anaHuyo mwandishi huwa anapitia sana kashkashi.
Aliyeleta habari hakufuatilia vzr, ila ipo utube Kwa kina na sio katekwa ila alikuwa anazuiliwa kurusha habari ya wananchi walioandamana Arusha na kufunga Barbara sbb Kuna watt 2 wametekwa hawajulikani walipoUzushi umekuwa mwingi sana. Ni ngumu kuamini
Asante madam, nimeisikia DW mchana wa leo.Aliyeleta habari hakufuatilia vzr, ila ipo utube Kwa kina na sio katekwa ila alikuwa anazuiliwa kurusha habari ya wananchi walioandamana Arusha na kufunga Barbara sbb Kuna watt 2 wametekwa hawajulikani walipo
Boss wake millardayo ni chawa wa ccmMwandishi wa Milard Ayo wa Jijini Arusha Godfrey Thomas akiwa katika majukumu yake ya kawaida akiwarekodi wananchi walio funga barabara ya Arusha Dodoma.
Kwa madai ya kuchoshwa na vifo vya watoto kugongwa mara kwa mara na kupoteza Maisha ametekwa na kuchukuliwa vifaa vyake vyote vya kazi na kupelekwa pasipo julikana na msadiziwa wa Mkuu wa mkoa Paul Makonda mara baada ya kurekodi maandamano ya wanachi mpaka sasa mwandishi huyo ajulikani alipo na simu yake ukipiga inakatwa bila majibu.
View attachment 3100653
Amezingua sn niliamini kabadirika ss kanitia wasiwasiAsante madam, nimeisikia DW mchana wa leo.
Ila RC kama kafanya hayo kweli amekosea.
Alichopambana kuzuia ndicho kimepata coverage kubwa mpaka nje.
Mwenye fani yake ya uvamizi na utekaji kajitokeza rasmi.
Boss wake millardayo ni chawa wa ccm