waziri2020
Senior Member
- May 31, 2019
- 197
- 468
Siku hizi hata ukistopishwwa kusalimia inakua umetekwaSijaelewa, yaani katekwa na Msaidizi wa Makonda mbele ya umati bila Kampani yoyote
Au kilikuwa kikundi cha watu wanaonasibishwa na RC huyo?
Maana mtu mmoja kumteka mtu mmoja ni kazi kweli kweli
Wapi SabayaMwenye fani yake ya uvamizi na utekaji kajitokeza rasmi.
Anatekeleza majukumu yake behind the scene.Wapi Sabaya
Kweli. Milard athibitisheMillard aandike hilo