GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Aliyeelewa naomba ufafanuzi wa taarifa hiiDAR ES SALAAM - Mwandishi wa HabariLEO, Theopista Nsanzugwanko amefariki dunia leo majira ya saa 3 asubuhi wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili, familia imesema.
Theopista amekuwa akiugua kwa muda mrefu, na taarifa zaidi kuhusu mipango ya mazishi itatolewa baadaye.
BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.
Chanzo: habarileo_tz
Na si tu hawa wa katika Magazeti au Redio au Tv bali hata wale wa Kike walio katika Mitandao na Blogs mbalimbali.
Wenye Akili Kubwa nina uhakika wameshanielea tena vyema tu na wala siongezi neno wala sipunguzi. Wawe makini.Aliyeelewa naomba ufafanuzi wa taarifa hii
Kuna lolote ambalo mwendazake huyo alimess-up?Moderators badilisheni Kichwa cha Habari muwezavyo ila bado nasisitiza Waandishi wa Habari nchini Tanzania hasa wa Kike ( Dada zangu / zetu ) kwa Upendo mkubwa tu nilionao Kwenu na nikiwa kama Mdau Tukuka wa Tasnia hii nawaomba kuweni makini sana na narudia tena nawaomba kuweni makini sana kwani tunawapenda.
Nimemaliza.
Hakuna ni Kazi ya Mungu tu Mkuu. Sitaki matatizo Mimi ila naendelea tu Kusisitiza Dada zetu wa Media wawe makini tu.Kuna lolote ambalo mwendazake huyo alimess-up?
Mhh... mkuu mbona kama hii sio sawa... hivi mfano ndugu na marafiki wa marehemu wakisoma hapa waeleweje? Na kwanini waandishi wa kike tu? unawapa wasi wasi wa kuwa kifo hakikuwa kwa mapenzi ya Mungu na kuleta sintofahamu bure.Moderators badilisheni Kichwa cha Habari muwezavyo ila bado nasisitiza Waandishi wa Habari nchini Tanzania hasa wa Kike ( Dada zangu / zetu ) kwa Upendo mkubwa tu nilionao Kwenu na nikiwa kama Mdau Tukuka wa Tasnia hii nawaomba kuweni makini sana na narudia tena nawaomba kuweni makini sana kwani tunawapenda.
Nimemaliza.
Mtani acha nawe Maswali yako ya Kibange bange sawa? au nawe leo umeonja kidogo Jani la kule Kwenu kwa Washamba?Hivi huyo anaweza kua ndugu wa mbunge mstaafu wa kasulu ndugu Daniel Nsanzugwanko
Nimeshasema kuwa Kifo chake ni Mapenzi ya Mungu sasa Maswali mengi ya nini tena? Hamtakijua mnachokilazimisha.Mhh... mkuu mbona kama hii sio sawa... hivi mfano ndugu na marafiki wa marehemu wakisoma hapa waeleweje? Na kwanini waandishi wa kike tu? unawapa wasi wasi wa kuwa kifo hakikuwa kwa mapenzi ya Mungu na kuleta sintofahamu bure.
RIP Mwandishi.
Mtani hapo sawa kama ni mapenzi ya MunguNimeshasema kuwa Kifo chake ni Mapenzi ya Mungu sasa Maswali mengi ya nini tena? Hamtakijua mnachokilazimisha.
Mtani Wewe nakujua bana kuwa ni Akili Kubwa na umeshanielewa vyema tu na kwanini nimesititiza sana jambo hapo.Mtani hapo sawa kama ni mapenzi ya Mungu
Nilikua sijasoma vizuri, pale ulipo bold tone, ndio nimeelewa, apumzike Kwa amaniMtani Wewe nakujua bana kuwa ni Akili Kubwa na umeshanielewa vyema tu na kwanini nimesititiza sana jambo hapo.
wa kiume fresh?
Mwandishi wa HabariLEO, Theopista Nsanzugwanko amefariki dunia leo majira ya saa 3 asubuhi wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili, familia imesema.
Theopista amekuwa akiugua kwa muda mrefu, na taarifa zaidi kuhusu mipango ya mazishi itatolewa baadaye.
BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.
Chanzo: habarileo_tz
Na si tu hawa wa katika Magazeti au Redio au Tv bali hata wale wa Kike walio katika Mitandao na Blogs mbalimbali.
Bidhaa zao zimejaa tele Madukani. Kazi Kwao...!!wa kiume fresh?
Shikamoo kwa kuwa Mwerevu zaidi.Tumieni zana za kazi.. Apumzike kwa aman..
Bidhaa zao zimejaa tele Madukani. Kazi Kwao...!!