TANZIA Mwandishi wa HabariLEO, Theopista Nsanzugwanko afariki dunia

TANZIA Mwandishi wa HabariLEO, Theopista Nsanzugwanko afariki dunia

Moderators badilisheni Kichwa cha Habari muwezavyo ila bado nasisitiza Waandishi wa Habari nchini Tanzania hasa wa Kike ( Dada zangu / zetu ) kwa Upendo mkubwa tu nilionao Kwenu na nikiwa kama Mdau Tukuka wa Tasnia hii nawaomba kuweni makini sana na narudia tena nawaomba kuweni makini sana kwani tunawapenda.

Nimemaliza.
Ni kwa wana habari tu au kwa wadada wote vijana ???
 
Una maswali ya 'Kikuda' halafu ya Kinafiki sana. Ni kwa Watanzania wote wakiwemo hadi na wana Ukoo wako Tukuka.
Mkuu punguza munkari, kwanza nikujibu Dally Kimoko ni zaidi ya Diblo Dibala, nimeuliza kwa wana habari kwa sababu naona umewatenga wanasanii wa bongofleva maana wanafanya kazi pamoja hao. Afadhali umeweka hapo ni kwa Watanzania wote kwiikwiikwii.
 
Mwandishi wa HabariLEO, Theopista Nsanzugwanko amefariki dunia leo majira ya saa 3 asubuhi wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili, familia imesema.

Theopista amekuwa akiugua kwa muda mrefu, na taarifa zaidi kuhusu mipango ya mazishi itatolewa baadaye.

BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.

Chanzo: habarileo_tz

Na si tu hawa wa katika Magazeti au Redio au Tv bali hata wale wa Kike walio katika Mitandao na Blogs mbalimbali.
GENTAMYCINE bila shaka wamekusikia na wakiziba masikio watapukutika
 
Mwandishi wa HabariLEO, Theopista Nsanzugwanko amefariki dunia leo majira ya saa 3 asubuhi wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili, familia imesema.

Theopista amekuwa akiugua kwa muda mrefu, na taarifa zaidi kuhusu mipango ya mazishi itatolewa baadaye.

BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.

Chanzo: habarileo_tz

Na si tu hawa wa katika Magazeti au Redio au Tv bali hata wale wa Kike walio katika Mitandao na Blogs mbalimbali.
Kuna dada mtu naye alikufa katika mazingira kama hayo
 
Masikini namfahamu huyu Marehemu toka akifanya kazi kule Kijitonyama Mtaa wa Bukoba, kwenye haya magazeti machanga,miaka ya 2000 mwanzoni..dah msalimie Josephine
RIP Theo
 
Nini kimekuvuruga mazee? Mbona mkali mkali sana 😂 😂 😂 😂 😎 😎 😎 😎
Arovera ni Mtani wangu na huwa tunapenda Kuzinguana na hata akinipiga Madongo vipi huwa Sikuchukii kwani namkubali pia yuko vyedi Kichwani.
 
Back
Top Bottom