TANZIA Mwandishi wa HabariLEO, Theopista Nsanzugwanko afariki dunia

TANZIA Mwandishi wa HabariLEO, Theopista Nsanzugwanko afariki dunia

Miaka inasogea sana. Mara ya mwisho kumuona pale TSN Samora Avenue na kina Msimbe,Tambwe miaka 15 iliyopita. RIP
 
Kijitonyama Mtaa wa Bukoba ndio wapi??
Upo hiyo barabara Kijenge to kwa Ali Maua,ukivuka tu Daraja hapo kwenye maduka ya Marehemu Pilot..ndani huko kuna Wahaya wakutosha..wakina Wilson,Kamugisha wa Wizara ya Fedha, Ndyamukama hata Mpogoro Maganga ex CEO wa DSE
 
Back
Top Bottom