GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Aug 1, 2024 Thread starter #41 Arovera said: Mtani wasilolijua wengine ni heshima tuliyonayo ya toka enzi za mababu zetu Click to expand... Hakika Mtani.
Arovera said: Mtani wasilolijua wengine ni heshima tuliyonayo ya toka enzi za mababu zetu Click to expand... Hakika Mtani.
Glasnost JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 266 Reaction score 259 Aug 1, 2024 #42 Miaka inasogea sana. Mara ya mwisho kumuona pale TSN Samora Avenue na kina Msimbe,Tambwe miaka 15 iliyopita. RIP
Miaka inasogea sana. Mara ya mwisho kumuona pale TSN Samora Avenue na kina Msimbe,Tambwe miaka 15 iliyopita. RIP
M Mtemi Mbojo JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 891 Reaction score 1,569 Aug 1, 2024 #43 mwanadodoma said: Kijitonyama Mtaa wa Bukoba ndio wapi?? Click to expand... Upo hiyo barabara Kijenge to kwa Ali Maua,ukivuka tu Daraja hapo kwenye maduka ya Marehemu Pilot..ndani huko kuna Wahaya wakutosha..wakina Wilson,Kamugisha wa Wizara ya Fedha, Ndyamukama hata Mpogoro Maganga ex CEO wa DSE
mwanadodoma said: Kijitonyama Mtaa wa Bukoba ndio wapi?? Click to expand... Upo hiyo barabara Kijenge to kwa Ali Maua,ukivuka tu Daraja hapo kwenye maduka ya Marehemu Pilot..ndani huko kuna Wahaya wakutosha..wakina Wilson,Kamugisha wa Wizara ya Fedha, Ndyamukama hata Mpogoro Maganga ex CEO wa DSE