PostGE2025 Mwandishi wa Millard Ayo Godfrey yupo Gereza Kisongo Arusha kwa kesi ya uhaini, Millard yupo bize na kumpost Msigwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Millard Ayo huyu mfanyakazi wake yupo Gerezani Kisongo Arusha kwa kesi ya uhaini ila yeye kapiga kimya yupo busy na Post za Girishon.

Ndio maana leo Mauaji makubwa ya kutisha yanatokea Tanzania ila muandishi bora wa taarifa za Mauaji hayo anatoka Kenya.
1763975128805.jpeg
 
Kuna tofauti kati ya Millard Ayo kampuni na Millard Ayo binadamu. Huyo mwandishi ni mwajiriwa wa Millard Ayo Company na anatuhumiwa kwa makosa aliyofanya kama yeye.

Makosa yake hayana uhusiano na Millard Ayo binadamu
 
kwa hiyo compony iliajiri muhaini? hii tafsiri yake ni nini katika company? na kingine kwa nini ile Tamko la mama kwamba waachiwe halifanyiwi kazi…ni kama dharau au?
 
Dah?
 
Kwa hiyo kampuni ilikuwa imeajiri nani ?
Shule za ccm zinaongeza wajinga au
 
Millard Ayo huyu mfanyakazi wake yupo Gerezani Kisongo Arusha kwa kesi ya uhaini ila yeye kapiga kimya yupo busy na Post za Girishon.

Ndio maana leo Mauaji makubwa ya kutisha yanatokea Tanzania ila muandishi bora wa taarifa za Mauaji hayo anatoka Kenya.
View attachment 3506681
Survival of the fittest
 
Kuna tofauti kati ya Millard Ayo kampuni na Millard Ayo binadamu. Huyo mwandishi ni mwajiriwa wa Millard Ayo Company na anatuhumiwa kwa makosa aliyofanya kama yeye.

Makosa yake hayana uhusiano na Millard Ayo binadamu
Ndugu raia mzalendo sana, kosa la mwandishi wa Milardayo Company ni kupiga picha kwenye maandamano au sio? Kwa hiyo kupiga picha za mauaji ni kosa la uhaini ndugu mzalendo?
 
Hahahhaa

Unadhani Ungekua wewe Millard Ayo Ungefanya nn?

Wakati tunajua akikohoa tu ananyang'anywa Lesseni, na akijichanganya tena anapotea.

Japokua lazima anaendelea kumpambania kijana wake, Atoke.
 
Wajinga ni wale followers wanao mfolliw huyo milard Ayo na wanaongalia ujinga wake, mkiacha hana chake nchi hii.

Yule aliye gerezani ndiye mpambanaji, mkimpa idadi kubwa ya follower mkaziondoa wa huyo millard Ayo, hata yeye ataelewa na kujifunza ku side na wananchi.

Muachane na vijihabari na vi post vya huyo milard Ayo na wote wasaliti liwe funzo kwao.
 
kwa hiyo compony iliajiri muhaini? hii tafsiri yake ni nini katika company? na kingine kwa nini ile Tamko la mama kwamba waachiwe halifanyiwi kazi…ni kama dharau au?
Wacha Mahakama ifanye kazi, wataachiliwa wasio na hatia
 
Millard Ayo huyu mfanyakazi wake yupo Gerezani Kisongo Arusha kwa kesi ya uhaini ila yeye kapiga kimya yupo busy na Post za Girishon.

Ndio maana leo Mauaji makubwa ya kutisha yanatokea Tanzania ila muandishi bora wa taarifa za Mauaji hayo anatoka Kenya.
View attachment 3506681
Millard Ayo si chochote kwenye hii nchi, kama media kubwa zipo muted, unahisi Millard Ayo afanye nini??

Think Twice.. 🤝 🤝
 
Ndugu raia mzalendo sana, kosa la mwandishi wa Milardayo Company ni kupiga picha kwenye maandamano au sio? Kwa hiyo kupiga picha za mauaji ni kosa la uhaini ndugu mzalendo?
Hiyo ni kazi ya Mahakama, mpaka sasa hivi hiyo mwandishi ni mtuhumiwa tu bado hana hatia.

Hoja yangu ilikuwa ni kumtetea Millard Ayo mmiliki wa Kampuni ya Millard Ayo
 
Kuna tofauti kati ya Millard Ayo kampuni na Millard Ayo binadamu. Huyo mwandishi ni mwajiriwa wa Millard Ayo Company na anatuhumiwa kwa makosa aliyofanya kama yeye.

Makosa yake hayana uhusiano na Millard Ayo binadamu
Alifanya akiwa ana execute uandishi wa habari kupitia Ayo Tv sasa kosa lake ni nini? Je anakatazwa kupiga picha za matukio? Hao Ayo TV walishindwa hata kutangaza kuwa mwandishi wao yuko jela na wakaeleza makosa yake?
 
Nilikuwa ninamjibu mtoa mada anaye mlaumu Millard Ayo kwa kuendelea kupost habari za Serikali wakati mwandishi wake amekamatwa na tuhuma za uhaini. Whether ni uhaini au siyo uhaini, Mahakama itasena
 
Back
Top Bottom