Hilo li babu Stuxnet ni shoga, achana naloHuyo stunext ni KILAZA pro max
Hilo li babu Stuxnet ni shoga, achana naloHuyo stunext ni KILAZA pro max
Mkuu ni mahakama gani atakazopelekwa akapata haki yake kwa sasa?Wacha Mahakama ifanye kazi, wataachiliwa wasio na hatia
Millard ayo ni puppet wa serikali hii ovu ambayo hatukuichagua. Ni aibu sana kwa huyu mjinga. Aibu kubwa sana.Millard Ayo huyu mfanyakazi wake yupo Gerezani Kisongo Arusha kwa kesi ya uhaini ila yeye kapiga kimya yupo busy na Post za Girishon.
Ndio maana leo Mauaji makubwa ya kutisha yanatokea Tanzania ila muandishi bora wa taarifa za Mauaji hayo anatoka Kenya.
View attachment 3506681
mimi mwenyewe nashangaa mtu anapost kwa kubagua habari za upande wa sifa tu bado kuna mingombe ina mfollow wa kazi ganiWajinga ni wale followers wanao mfolliw huyo milard Ayo na wanaongalia ujinga wake, mkiacha hana chake nchi hii.
Yule aliye gerezani ndiye mpambanaji, mkimpa idadi kubwa ya follower mkaziondoa wa huyo millard Ayo, hata yeye ataelewa na kujifunza ku side na wananchi.
Muachane na vijihabari na vi post vya huyo milard Ayo na wote wasaliti liwe funzo kwao.
Makosa gani hayo mpumbavu wewe? Kesi fake ni ujinga tuu fungueni hata milioni ila wote watatoka tena wakiwa mashujaaKuna tofauti kati ya Millard Ayo kampuni na Millard Ayo binadamu. Huyo mwandishi ni mwajiriwa wa Millard Ayo Company na anatuhumiwa kwa makosa aliyofanya kama yeye.
Makosa yake hayana uhusiano na Millard Ayo binadamu
KabisaWajinga ni wale followers wanao mfolliw huyo milard Ayo na wanaongalia ujinga wake, mkiacha hana chake nchi hii.
Yule aliye gerezani ndiye mpambanaji, mkimpa idadi kubwa ya follower mkaziondoa wa huyo millard Ayo, hata yeye ataelewa na kujifunza ku side na wananchi.
Muachane na vijihabari na vi post vya huyo milard Ayo na wote wasaliti liwe funzo kwao.
huyu matyako yake yanamilikiwa na AbdulHuyo stunext ni KILAZA pro max
Na ana post habari za mi ccm tu, inakuwaje mtu mwenye akili aanfalie habari za millard Ayo?mimi mwenyewe nashangaa mtu anapost kwa kubagua habari za upande wa sifa tu bado kuna mingombe ina mfollow wa kazi gani
Mbona jana watuhumiwa wa uhaini zaidi ya 250 waliachiwa huru kati ya mikoa ya Mwanza, Arusha na Dar??Mkuu ni mahakama gani atakazopelekwa akapata haki yake kwa sasa?
Hizi hizi tunazozijua au kuna mahakama nyingine ipo tusiyoijua sisi?
Kama upo hapa nchini kwa, uwe mkweli, na kama unafuatilia crrent affairs juu ya matendo ya mahakama zetu, kuna haki zinatendea raia wenye mrengo wa siasa za upinzani?
Sasa mbona unalipuka na matusi? Kwani mimi nimeandika ana makosa au ana tuhuma?Makosa gani hayo mpumbavu wewe? Kesi fake ni ujinga tuu fungueni hata milioni ila wote watatoka tena wakiwa mashujaa
Ila watekaji,wauaji, wezi wa kura na mali za umma na chawa wasio na akili kama wewe ndio unaotaka tuwaamini na nchi yetu? umelala usingizi mzito ila soon utaamkaSasa mbona unalipuka na matusi? Kwani mimi nimeandika ana makosa au ana tuhuma?
Vichwa vibovu kama chako ndiyo vinategemewa vilete mageuzi Tanzania??