Mwandishi wa STAR TV ajuta kumfahamu Joseph Mbilinyi

Mwandishi wa STAR TV ajuta kumfahamu Joseph Mbilinyi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Joseph Mbilinyi alialikwa kwenye TV hiyo kwa ajili ya Mahojiano katika kipindi chao cha medani za siasa , mabango yakawekwa kila kona

Joseph_O._Mbilinyi_on_Instagram:_“WATCH_me_DO_me..._STAR_TV_leo_saa_TATU_usiku...USIKOSE._@chi...jpg

Hatimaye siku ya mahojiano ikafika , Kwenye mahojiano yenyewe sasa mambo yalikuwa hivi .

Instagram_post_by_No_Hate_No_Fear_•_Jun_26,_2021_at_8:06pm_UTC%22_.jpg
 
Mwandishi wa kipindi amegeuzwa kuwa mgeni mualikwa hapo. Na mwandishi angeendelea kujifanya hazimtoshi kwa kuuliza maswali ya kipuuzi basi angechezea hata makofi au ngumi kwa sugu.

Kipindi kingekua kizuri kweli wangealikwa wote wawili kwa pamoja, Sugu na Ackson Tulia.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
... Tulia aanze kufangasha asubuhi na mapema; hana chake Mbeya next election maana mbeleko haipo tena. Atafurushwa fasta sana kabla jogoo hajawika mara ya pili!

Anyway, kwa mbeleko ya jinsia ana some options, kupitia viti maalumu (CCM hawatamtupa), kupitia viti vya Rais, kuwa mgombea pekee uspika kupitia CCM kwa kigezo cha "ni zamu ya mwanamke"!
 
... Tulia aanze kufangasha asubuhi na mapema; hana chake Mbeya next election maana mbeleko haipo tena. Atafurushwa fasta sana kabla jogoo hajawika mara ya pili! Anyway, kwa mbeleko ya jinsia ana some options, kupitia viti maalumu (CCM hawatamtupa), kupitia viti vya Rais, kuwa mgombea pekee uspika kupitia CCM kwa kigezo cha "ni zamu ya mwanamke"!
Taarifa zinaonyesha kwamba anafikiria kujiuzulu ubunge
 
... Tulia aanze kufangasha asubuhi na mapema; hana chake Mbeya next election maana mbeleko haipo tena. Atafurushwa fasta sana kabla jogoo hajawika mara ya pili! Anyway, kwa mbeleko ya jinsia ana some options, kupitia viti maalumu (CCM hawatamtupa), kupitia viti vya Rais, kuwa mgombea pekee uspika kupitia CCM kwa kigezo cha "ni zamu ya mwanamke"!
Uchaguzi upi Tena na chadema washasema kuwa hawatashiriki uchaguzi wowote?
 
Back
Top Bottom