Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Magufuli mwenyewe alikuwa mvua bangi na kafa kwa kagonjwa covid 19Hao star tv hawajielewi, unawaalikaje wavuta bangi kwenye kipindi Cha heshima Kama hicho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli mwenyewe alikuwa mvua bangi na kafa kwa kagonjwa covid 19Hao star tv hawajielewi, unawaalikaje wavuta bangi kwenye kipindi Cha heshima Kama hicho?
Kawaida yao hao. Niliwachukia tangu wakati ule wa dr. Slaa. Kukimbia chamaNimemsikiliza huo mjadala vizuri, Sugu amenyoosha maelezo vizuri, mpaka kuna muda Star tv wakakata hicho kipindi.
Mwaka 2020 siku cheche kabla ya uchaguzi vijana waliitwa na viongozi wa ccm pale kinondoni kwenda kupiga kura za ndiyo kwa magufuli na chama chake. Malipo yalikuwa 5000/= hawajapewa mpaka leo. ( ushahidi mdogo wangu alikuwepa kwenyezoezi Huskies, Kura zilizokamatwa kwenye mabegi kunduchi nk)Kama SUGU aliibiwa "kura" na anao ushahidi kuwa uchaguzi ulikuwa rigged, kwanini hakufungua kesi mahakamani??
Tumewahi kushuhudia matokeo ya Ubunge yakipingwa mahakamani na wapinzani wakashinda, mfano ni Godbless Lema mwaka 2010 rejea kesi yake na Batlida.
Sasa hawa wanaopiga kelele kuwa uchaguzi haukuwa wa haki kwanini hawakwenda Mahakamani kudai haki zao??????????????????????
Wanafiki wakubwa!!
Ficha ujinga woke wew, unafikiri walipo kata rufaa Mahakamani walikwenda bila fomu za matokeo ambayo ktk Uchafuzi uliopita walinyimwa kupewa mawakala na hata kubandika hawakubandika?Kama SUGU aliibiwa "kura" na anao ushahidi kuwa uchaguzi ulikuwa rigged, kwanini hakufungua kesi mahakamani??
Tumewahi kushuhudia matokeo ya Ubunge yakipingwa mahakamani na wapinzani wakashinda, mfano ni Godbless Lema mwaka 2010 rejea kesi yake na Batlida.
Sasa hawa wanaopiga kelele kuwa uchaguzi haukuwa wa haki kwanini hawakwenda Mahakamani kudai haki zao??????????????????????
Wanafiki wakubwa!!
Poleni sana watanzania kwa aina ya Rais mliyekuwa nayeAlisema fomu walinyimwa mawakala wa upinzani,sasa mahakamani utathibitisha vipi.
Magufuli alibana hadi kajiibia mwenyewe
Wewe wanaangalia watu wa kuoji, Kuna vichwa lazima ujipange,chadema imepika watu sio mchezo,mwafaa ,alisema mwendazakeJoseph Mbilinyi alialikwa kwenye TV hiyo kwa ajili ya Mahojiano katika kipindi chao cha medani za siasa , mabango yakawekwa kila kona
View attachment 1831323
Hatimaye siku ya mahojiano ikafika , Kwenye mahojiano yenyewe sasa mambo yalikuwa hivi .
View attachment 1831333
Tena kwenda kuongelea vibaka wa uchaguzi[emoji2957]Hao star tv hawajielewi, unawaalikaje wavuta bangi kwenye kipindi Cha heshima Kama hicho?
Huna taarifa tu lakini rufaa inakatwa hata kwenye mifumo ya Aina zote, mizuri na mibaya na usichokijua zaidi rufaa ni haki inayotoka ndani ya mtu kukutafuta na haitegemei eti mfumo uwe mzuri au mbaya. Akili ya mtu ikimwelekeza kuwa umeonewa hapa na ikimsukuma kuwaambia watesi wake kuwa wamemwonea huwezi kuzuia hilo. Ni ya kifilosofia zaidi hii.Hoja yako ni dhaifu sana.
Mbona hao akina Mbowe walikata rufaa walipohukumiwa kulipa fidia baada ya zile vurugu za Kinondoni. Je, hiyo rufaa walikata wakati wa utawala wa nani?
Hahaha nawe unakandamizia, tangu lini mtanzania akaachia ugali kirahisi?Taarifa zinaonyesha kwamba anafikiria kujiuzulu ubunge
Kama mnao ushahidi kwanini hamkwenda mahakamani kufungua kesi???Mwaka 2020 siku cheche kabla ya uchaguzi vijana waliitwa na viongozi wa ccm pale kinondoni kwenda kupiga kura za ndiyo kwa magufuli na chama chake. Malipo yalikuwa 5000/= hawajapewa mpaka leo. ( ushahidi mdogo wangu alikuwepa kwenyezoezi Huskies, Kura zilizokamatwa kwenye mabegi kunduchi nk)
Vituoni; Vito vilifunguliwa saa 9 usiku badala ya sa 12 asubuhi. Wasimamizi wakisokomeza kura zilizopigwa kwenye masanduku, pia kulikuwepo na makada chama ambao walikuwa walipiga kila kituo na kuingia na kura zilizopigwa na kuziingiza kwenye masanduku . Hii imekuja baada ya kuhakikisha vituoni hakuna makala wa vyema vingine ( ushahidi waliokuwemo kwenye Vituo kama wasimamizi lakini wasiopendezewa na dhulma)
Wasimamizi : ma DED walihakikisha wasimamizi ni wale watumishi wenye mlengo wa ccm ama kwa.kujipendekeza au kutojitambua kwao hii ilifanyika ili kurahisisha niliyoyaandika hapo juu. Ushindi upo unawajua kwa majina mana unaishi nao na kufanya nao kazi.
Endelea kuishi binafsi kuamini kwamba ccm nilishindwa kihalali
Aliyekuambia Bangi ni mbaya nani huyo?We ndio mpumbavu, huyo sugu bangi kwake ni kama chakula
Kunyimwa fomu ni ushahidi pia na unaweza ukatumika mahakamani. Na ndiyo maana nawauliza kwanini hamkufungua kesi mahakamani?Ficha ujinga woke wew, unafikiri walipo kata rufaa Mahakamani walikwenda bila fomu za matokeo ambayo ktk Uchafuzi uliopita walinyimwa kupewa mawakala na hata kubandika hawakubandika?
Mwenda kuzimu alifanikea kuwapumbaza sana wajinga
Sasa mbona mnajichanganya na hoja zenu dhaifu?Huna taarifa tu lakini rufaa inakatwa hata kwenye mifumo ya Aina zote, mizuri na mibaya na usichokijua zaidi rufaa ni haki inayotoka ndani ya mtu kukutafuta na haitegemei eti mfumo uwe mzuri au mbaya. Akili ya mtu ikimwelekeza kuwa umeonewa hapa na ikimsukuma kuwaambia watesi wake kuwa wamemwonea huwezi kuzuia hilo. Ni ya kifilosofia zaidi hii.